Je, SUMATRA walishaanza kuita kwa ajili ya usaili

CMIMI

Member
Jul 6, 2014
12
0
Naombeni kujuzwa Iwapo kuna yeyote anayefahamu kama sumatra walishawahi kuita kweye usaili katika nafasi zilizotangazwa mwezi 5 mwaka huu 2014
 
naombeni kujuzwa iwapo kuna yeyote anayefahamu kama sumatra walishawahi kuita kweye usaili katika nafasi zilizotangazwa mwezi 5 mwaka huu 2014

hakuna na pia nakumbuka mwaka jana walitangaza nafasi kibao hadi leo cjawahi kuckia wakiita watu interview. Mamlaka hii bado changa isipende kuficha mambo yake sana kwa nini isiige utaratibu wa tpdc thats y i like ceo with accounting professional hawana longo longo hata kidogo. Tpdc kila wakati nafasi ikitangazwa utaona walioitwa usaili na kazini kwa wakati hongera kilagane japo unavyostaafu wahasibu ni nadra tena kuongoza taasisi hiyo nadhani.
 
Sina uhakika sana unaposema eti sehemu zinazoongozwa na wahasibu ndiyo zipo transparent ama ndiyo wanafanya mambo kwa utaratibu.Vipi mbona TRA nao karbia waajiliwa wote wana qualification za accountant laikini wanafanya ndivo sivo.Pole sana maana huyo mzee akiondoka tu anapewa nafasi mwanasiasa
 
sina uhakika sana unaposema eti sehemu zinazoongozwa na wahasibu ndiyo zipo transparent ama ndiyo wanafanya mambo kwa utaratibu.vipi mbona tra nao karbia waajiliwa wote wana qualification za accountant laikini wanafanya ndivo sivo.pole sana maana huyo mzee akiondoka tu anapewa nafasi mwanasiasa

ndio hivo mkuu! Shida ya tra inamizengwe mingi usalama wanazunguka kila muda hata ile kuapply professionalism inakuwa ngumu kama ilivyo bot pressure za kisiasa ziko nyingi sana pale jaribu kufanya utafiti kidogo utaona mkuu.
 
Pouwa Ndugu NATTA WITO ni kweli huu ni upumbaffffffffff
naomba tulifuatilie, wakiita tupeane taarifa ili kama wasipoita na hii ya mwaka huu niweze kuiweka katika listi ya sehemu ambazo hazitakiwi kuombwa maana tunapoteza hela hasa ktk sehemu ambazo huwezi kuomba online.

tupeane ushirikiano wadau
 
Back
Top Bottom