Recent content by CLONEY

  1. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Game of theory

    Habari wadau,hivi huyu Game yuko wapi maana tangu alipo post zile picha za walinzi wa viongozi mbalimbali hajaonekana tena.
  2. CLONEY

    JamiiForums Tanzania You left me but remember

    Pole sana japo inauma hiyoo usiombe yakukute bwana basi lakini yupo wa kwako wala usikate tamaa mkuu mwache aende nina uhakika iko siku atakukumbuka
  3. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Tulia nae

    Ndugu zangu ukifungua MMU topic nyingi zinaonyesha jinsi gani mapenzi yanasumbua sana siku hizi,yani wanaume wanalia huku wanawake nao wanalalamika. Wapo wengine leo wanadiriki kusema mapenzi sasa basiiii tena kumbuka kuna wengine wengi tu wanaougulia moyoni hawna hata pa kusemea. Naamini...
  4. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Pishi lingine la chapati hilo

    Atakuwa mtwara huyo kushughulikia mambo ya gesi.
  5. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Pishi lingine la chapati hilo

    ila kumbuka kuukanda unga wako ulainike vizuri na usiwe mgumu kama ugali wa shule
  6. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Pishi lingine la chapati hilo

    Jifunze au ongezea ujuzi wa pishi la chapati ,wadau pishi hilo nimelikuta hukooooo kwenye blog ya Mange nikaona nililete hapa kwenu mnaweza pata chochote. Kuna njia tofauti za kukanda chapati zako zikawa laini, lakini siri kubwa ya kupata chapati nzuri ni kuukanda huo unga vizuri na ulainike...
  7. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

    Nicas samahani hiv wewe ni mtu mzima eeh?ahsante kwa busara zako.
  8. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

    Nicas samahani hiv wewe ni mtu mzima eeh?ahsante kwa busara zako.
  9. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Tujadili: About the love life

    Nimependa hii inatia moyo....let's wait for GOD!!!!too bad hakuna shule wa chuo cha mapenzi wala hakuna bingwa au prof wa mambo hayo.
  10. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano..

    Heri mimi sijasema ila Mungu anayejua haki anaona yote na hivyo nasubiri neema yake.
  11. CLONEY

    JamiiForums Tanzania He doesn't walk his talk!

    Kwann unasema hivyo?mapenzi yanatesa sana ndugu ndo maana mtu anaweza kufanya jambo lolote bila kujali impact yake ili airidhishe roho yake.
  12. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Long distance relationship

    Pole sana ila hayo mawazo pia siyo mazuri kwasababu wapo wanawake/wanaume ambao ni wanamapenzi ya dhati kwa wenzao sema tu hujampata ndo maana nakwambia hayo mawazo sio mazuri coz hata akitokea mzuri hutamwamini kwahyo usikate tamaa ndugu na usihakishe kuingia kwenye uhusiano kwanza kabla ya...
  13. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Ka ujumbe ka Jumapili ya leo!!

    Asante kweli kaujumbe kazuri nataman mwenzangu nae angesoma labda ingetusaidia sote.
  14. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Wanaume weusi wafupi wana gubu kama mke mwenza

    Nadhan kuna ukweli jaman mi mwenyewe ss hv nina suluhisha gogoro la mtu wa aina hiyo tena wanadharau hao!acha tu.
  15. CLONEY

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Ameshachelewa hakuna mapema tena hapo,huyo dada hana akili kwann hakumwambia tangu anasoma ili ajue hakutakuwa na mapenzi lkn yeye kasubiri amalize shule na gari juu ndo anajidai leo eti huyo bwana mshamba,unadhan muda wote huo hawajala tunda hao?
Back
Top Bottom