Mawasiliano..

Mawasiliano..

4realy

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
78
Reaction score
16
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
 
Mtu anayeavoid mawasiliano na wewe bila sababu ya msingi ni kwamba hayuko interested kucommunicate na wewe, labda unayomwambia hayamfurahishi and/or hakupendi tena.
 
Jaribu kufanya hvyo cku ambazo haend kazin
 
Jaribu kumwangalia mumeo ni mtu wa aina gani kama ni hawa mfumo dume mh wanamatatizo sana, kwao mwanamke hana deal sana.

Na wewe acha kumpigia na ukisafiri usimpigie kabisa na hata akiandika sms sometime ignore kwani wewe huna huyo buze?
 
Duuh pole sana, huyu mumeo ni aina ya wale wanaume wanaoamini kua, thamani ya mwanamke huonekana pale ka giza kanapoingia ,kwa sababu anajua karibia mtakutana kitandani, Siku nzima anakua hana time na wewe, inauma kwa kweli.
 
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.

Si ushukuru hata wewe unakaa na simu, mimi wakwangu nimemnyanganya hadi simu.
Kama anataka kuniuliza lolote wakati mimi niko kazini anatakiwa aandike barua halafu aitume poster.
Japo tunaishi nae nyumba moja ila lazima barua aandike.
Wanawake saa nyingine wasumbufu sana.
 
Mwanaume asiyependa mawasiliano ni JANGA..!
 
Dahhh we saudari mkali aiseee!
Si ushukuru hata wewe unakaa na simu, mimi wakwangu nimemnyanganya hadi simu.
Kama anataka kuniuliza lolote wakati mimi niko kazini anatakiwa aandike barua halafu aitume poster.
Japo tunaishi nae nyumba moja ila lazima barua aandike.
Wanawake saa nyingine wasumbufu sana.
 
it depends. ni vizuri kuwasiliana kama kachelewa usiku au kapata safari ya dharura. pia akiwa kasafiri communication once per 1~2 days ni nzuri. lakini ukizidi na kupiga 2-3 daily inaanza kuboa au sometimes anakuwa mkutano/kazidiwa job so hawezi kupiga stori during office hours. its all about balance
 
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.

Duuh_tread nzuri hii,..hata mimi mke wangu analalamika sana kuhusu hili,..ila to me sioni kama ni issue kivile_maake asubuhi tunaagana na jioni tunakutana,..haya mambo ya umekula lunch_ndio,umekula nini wali samaki,jitaidi kula bana si unajua wewe ni mvivu kula...wengine zinatuboa,....

Nb:Kwa uopande wangu sio kwamba simpendi nampenda saaaaaaaaaaana,...sema hayo mambo ya ki_baby mara sweet,honey hatuyachukulii kivile.....hii ni kwa sisi tuliosoma st.kayumba.
 
Duuh pole sana, huyu mumeo ni aina ya wale wanaume wanaoamini kua, thamani ya mwanamke huonekana pale ka giza kanapoingia ,kwa sababu anajua karibia mtakutana kitandani, Siku nzima anakua hana time na wewe, inauma kwa kweli.

Pole_ni maumivu bila shuruti lakini.
 
Jaribu kumwangalia mumeo ni mtu wa aina gani kama ni hawa mfumo dume mh wanamatatizo sana, kwao mwanamke hana deal sana.

Na wewe acha kumpigia na ukisafiri usimpigie kabisa na hata akiandika sms sometime ignore kwani wewe huna huyo buze?

ahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_St.Kayumba schools ni noumer.....
 
Heri mimi sijasema ila Mungu anayejua haki anaona yote na hivyo nasubiri neema yake.
 
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
achana naye then nitafute
 
Back
Top Bottom