Recent content by Clintony

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kaseko kuusaka ubunge jimbo la Sengerema- 2015

    Safari ya Kijana Mahiri kabisa na mwenye ndoto ya kuiongoza Tanzania baadaye huenda ikaanza kwa kuwania Ubunge wa jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM 2015, Chanzo Chetu kimefanikiwa kupata taarifa hizi kutoka watu wanaomuunga mkono Kijana huyu wakiwamo wanasiasa wakongwe wa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    sasa wee jamaa ethcs unafikiri kupambana hadi kupambana hadi kupatikana kwa maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo ni kitu kidogo? acha akiri fupi kasaidia watanzania wengi sana maskini..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

    cku zote huwezi kupendwa na wote!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

    ndo tatizo la wanadamu..cku ukikosea kidogo tu au ukiharibu tu basi mema yote uliyoyatenda watu hawakumbuki! watu hawajui kwa nn hawamtaki mh. ngeleja...ni kupungukiwa na kufikiria kwa kina! mnamkataaa ngeleja eti kwa tatizo la umeme ambalo utatuzi wake ulikuwa mikononi mwa wengi! Mh. Ngeleja...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Karibu Tuchati!

    Hellow..
Back
Top Bottom