Kaseko kuusaka ubunge jimbo la Sengerema- 2015

Kaseko kuusaka ubunge jimbo la Sengerema- 2015

Clintony

Member
Joined
May 12, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Safari ya Kijana Mahiri kabisa na mwenye ndoto ya kuiongoza Tanzania baadaye huenda ikaanza kwa kuwania Ubunge wa jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM 2015, Chanzo Chetu kimefanikiwa kupata taarifa hizi kutoka watu wanaomuunga mkono Kijana huyu wakiwamo wanasiasa wakongwe wa nchi hii.


Nafics-Tanzania
 
sengerema hawadanganyika,hawak tayari kutoa gamba waweke gamba! wataweka kamanda,full stop.
 
Back
Top Bottom