Recent content by Clinton11

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanajeshi amuua Kasisi aliyetembea na mke wake

    K Kumkata tu amemuhurumia sana, ningemfunga kwenye gari na kumburuza nchi nzima akiwa uchi, sheenzi kiongozi wa dininunaendekeza uzinzi tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Kw Kwani hilo jambo limetokea ikulu au msikitini. Na kwa nini mlete siasa kwenye nyumba za ibada?!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Kidini haikubaliki kwa sababu kubwa mbili . Kwanza ni haramu na ni shub'ha kuchanganyika kwa jinsia mbili tofauti katika ibada za pamoja kama hiyo. . Sababu ya pili kutokana na Quran tukufu, amelaaniwa mwanaume anayevaa mavazi ya kike , na mwanamke avaaye mavazi ya kiume. So huyo jamaa hapo na...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume serious

    Here madame, nipo tayari
  5. C

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

    Dada wa taifa 😂😂ni mchumba tu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuteua watu kabla ya kuwajulisha: Wapi kwingine duniani wanafanya hivyo?

    Nahisi hiyo ndo kazi anayoiweza vizuri kuliko majukumu yake yote kama prezidaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

    Ulitaka wahifadhi vichwani au?? Hapo hamna excuse simu ni yake na hakuna wa kumpangia matumizi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la tahasusi

    So?? Mbona hamna hoja hapo mkuu??
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la tahasusi

    Ndugu zangu leo nina swali kidogo, hivi suala la kuongezeka kwa tahasusi kwa kidato cha tano na cha sita hadi kufikia idadi ya tahasusi zipatazo 65, ni dalili ya elimu kukua???
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Aahh tena tunaosoma hapa vet medicine ndo kabisaaa, Tunafundishwa elimu ya zamani ambapo haiendani na uhalisia wa mambo ys siku hizi, what they think merely personal gain. Upuuzi mtupu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Kashabuni kujiua kupitia ghorofa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    🤣🤣🤣Mtoto wa mwenzio ni wako 😂😅😅
Back
Top Bottom