Recent content by Clinton Mbowe

  1. Clinton Mbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sikutegemea" Nimeamini kila jambo lina sababu

    Aisee una kipaji cha kusimulia. Tunga kitabu...!!
  2. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Ningefurahi sana kama shule zote za Private zingekuwa zinalipwa na Tsh. Na sio Dollar. Hawezekani kwa mtanzania ndani ya tanzania kulazimishwa kulipa ada kupitia dollar.
  3. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Hii ni safi sana!! Na tujue muafaka. Na tuone implimentation. Wasiishie hapo hapo!!
  4. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Anza na wabunge kuisoma namba

    Inasikitisha sana kwa kweli.
  5. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkopo bil. 240.56 kujenga kiwanda cha matrekta

    Kwa kweli nimekubaliana na point yako!!! Na huu sio mda wa mikataba ya hela nyingi hivyo. I hope sio mambo ya 10%
  6. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa wazuiwa na Umati Muheza na Korogwe

    Kweli Mungu wa Lowassa sii mchezo..!!!
  7. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Lowassa Utawafilisi CCM

    Mimi na wasiwasi na jinsi wanavyo tegemea kuzirudisha...!!!
  8. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Leo. Kinachojiri DSM !
  9. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Jamani leo habari za Padlock hamna kabisa. Mhhh.. UKAWA mmetisha.
  10. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Dahh....!!!!
  11. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Ngoja nimalize kujisajili hapa kituoni. Niwahi kuangalia MAKAMANDA.
  12. Clinton Mbowe

    JamiiForums Tanzania Kampala University na Vyuo vingine iwe fundisho kwetu vijana wa Tanzania

    Inanisikitisha sana jinsi wanafunzi wanavyo sumbuliwa.
  13. Clinton Mbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Hasheem Thabit ejected from Summer League Game

    Naona amesahau Shida !!!
Back
Top Bottom