Recent content by clinton chriss

  1. clinton chriss

    Ndalichako awa Profesa

    Hongera Prof Ndalichako CCM waumbuka Chadema tunachukua nchi unarud Necta.
  2. clinton chriss

    CHADEMA yaweka wazi Majina ya Waliochukua Fomu kugombea Uongozi wa Ngazi Mbalimbali Chamani

    Hongera chadema umakini unahitajika kuepuka mamluki.
  3. clinton chriss

    Sioni tija ya CHADEMA kumchukia Nassari wakati jimboni anang'aa

    Endelea kupitapita utapitishwa hujui usemacho.
  4. clinton chriss

    Wema Sepetu

    Hili jukwaa halijadili watu wasio na dira bw alaaaaaaaaaaaa.
  5. clinton chriss

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    Lowasa babaaaaaa unatisha.
  6. clinton chriss

    Dengue yaingia Japan ikiwa ni baada ya miaka 69

    Japan tafuteni ushauri tanzania tuliweza kudhibiti.
  7. clinton chriss

    Kikwete azidiwa umaarufu na rais Uhuru Kenyatta na Museveni!

    Ndugu naungana na mkuu kwa safar na kuhudhuria misiba na tabasamu angeshika no moja rais kikwete hana umaarufu wowote na hana sifa yoyote nzuri.
  8. clinton chriss

    Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

    Hongera mhe halima gujimwa kaza buti.
  9. clinton chriss

    Tamko la Jukwaa la Kikristo kuhusu Mchakato wa Katiba

    Kanisa ni kiungo muhimu ktk kushauri nchi na kudumisha amani kwa kuombo hivyo ni uamuzi sahihi sana na kanisani wapo watanzania wana haki asieelewa ni mtoto bado.
  10. clinton chriss

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    JF tunajadili mambo ya msingi sio ujinga kama huo mlivyopatana mlileta tukajadili mmepigana vikumbo mnatusumbua koma puuuuuuumbaaaaaffffff.
  11. clinton chriss

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Zito acha porojo mbona waliokufa wengine hufuatilii umeshindwa kuipindua chadema unaanza na madawa nenda kafanye kaz jeshi la polisi au TFDA bw.
  12. clinton chriss

    Apson Mwang'onda sasa ahamishia vikao vya Lowassa kwa mwanae Jimmy Mbezi Beach

    Naungana na wakuu wengine lowasa ana haki za kupanga mikakati na watu wake hakuna chakushangaza hapo tafuta sera zingine.
  13. clinton chriss

    Polepole anachambua rasimu ya katiba ITV na Radio one

    CCM hamna kitu sera hakuna serikali tatu ndo mpango mzm bw.
  14. clinton chriss

    Rais Kikwete iga mfano wa Uhuru Kenyata mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

    Labda Tanganyika rais kikwete aige kadhindwa kusimamia ccm tu nchi yenyewe ilimradi twende kila kukicha bora jana.
Back
Top Bottom