Recent content by clinical pharmacology2

  1. clinical pharmacology2

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Yanga alienda kuzuia sio kushinda . Ila jana yanga alicheza mpira mbovu zaidi kuwahi kutokea . Mechi ilikua ya kubutua na kuzuia tu yaani yanga tumeteseka jana mda wote roho juu
  2. clinical pharmacology2

    Kama kuna mzazi anasomesha mtoto wake wa kike Dodoma Media College (DMC) basi ajiandae kisaikolojia

    Hili swala kwa vijana tunaona halina shida sababu maisha ya chuo ni kawaida kwa boy kwenda kulala chumba cha girl hadi asubuhi and vicevesa. Ila kwa watu wazima wenye watoto wanaosoma chuo wana ona kama ni jambo la ajabu. Chuoni kila mtu ana maamuzi binafsi ngono imekithiri sana miongoni mwa...
  3. clinical pharmacology2

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Wanapigana na warusha mawe na manati. Hata Mimi ningekua resevist ningeenda kula hela ndefu hiyo bila hata jasho.
  4. clinical pharmacology2

    Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

    Afukuzwe ili iweje?? Saivi timu imekuwa tishio pale EPL. Chelsea nakuja kuwapiga hapo hapo Darajan .
  5. clinical pharmacology2

    Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

    Wachaga wa tarakea acheni ubahiri. Kisima ni milion 3 tu .
  6. clinical pharmacology2

    Wanawake Wana drama hatari

    Singidani, [emoji706][emoji706] Urangini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji3482]
  7. clinical pharmacology2

    Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

    Mbwa kala mbwa. Ukila pesa ya mwanaume basi jiandae kuliwa . Kama mtu humpendi usile hela yake .
  8. clinical pharmacology2

    1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Anayebisha simba hakucheza nusu fainali ya CAF mwaka 1974 naomba alete hapa ushahidi wa timu zipi zilicheza nusu fainali mwaa huo. Kuna laki tano hapa. It’s open chalenge to anyone!!!
  9. clinical pharmacology2

    Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

    Tunza mkuu wangu . Ila jua tu hutoboi makundi. Wewe ndo mnyonge wa kundi .
  10. clinical pharmacology2

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    City ana majeruhi yupi ujimtoa kdb?
Back
Top Bottom