Recent content by Cliffhanger

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Wote wanaotetea mauaji ya Kimbari yanayofanywa na Putin kwa Raia wa Ukraine wasio na hatia, nawaweka kundi moja na watetezi wa mauaji na utekaji uliokuwa unafanywa na majahili wa awamu ya tano!!!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Awamu ya tano iliharibu taratibu za utawala bora matokeo yake mpaka awamu hii midume mizima na korodani zao wanaendelea na utaratibu wa kuabudu na kumsujudia binadamu ili wapate uhakika wa ajira!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

    Midume mizima inategemea wanaharakati ndo wawatetee, Mzee Sykes angesubiri wanaharakati tusingekuwa tunasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika leo! Mwenyezi Mungu awarehemu Watanzania!!!!!!!!!!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

    Nchi hii ina watu wakatili na waovu ambao wako serikalini na kwenye vyombo vya dola ambao kwa uovu wao hata Ziraili hawafikii! May the Almighty burn them in Eternal Fire!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mbeleni Watanzania kushinikiza Rais Samia aongezewe muda

    Si mpaka uwe hai? Au wewe ni immortal?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mgambo wavamia Majumbani Kimara Mavurunza na Kutishia,Kukamata watu na Kuomba Rushwa

    Hiyo ndio Tanzania mpya ya kazi iendelee. Halafu tunataka tufanye maombi ili mvua inyeshe!!!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Tatizo la Watanzania ni unafiki. Raia wasio na hatia wako magerezani na wengine wanauliwa ili tu CCM watawale milele na ajabu hao wanaohimiza tufunge na kusali kuomba mvua hawajawahi kukemea vitendo hivyo. Mwenyezi Mungu sio wa CCM peke yao!!!!!!!!!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Huo ndio ukweli mtupu, ndio maana CCM walikuwa tayari kutoa roho za Watanzania wasio na hatia ili waendelee kuajiriwa na kututawala milele na kuwa na uhakika wa kujichotea pesa za serikali!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    Ngoja tuwape muda TCRA labda wanasubiri wapate kibali kutoka mamlaka ya uteuzi ili waifungie Wasafi kwa blasphemy hii ambayo haijawahi kutokea toka tupate Uhuru!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

    Ina maana Mahakama Kuu ya nchi jukumu lake ni kutupa kesi tu?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu atoa Scan za CT kwenye kila mkoa Bara na Visiwani

    Kwani toka tupate uhuru nchi hii imetawaliwa na chama gani mpaka mamburula yanaitaja Chadema?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Kumbe ule wimbo walioimba Vijana Jazz Ogopa Tapeli ulikuwa unawalenga CCM. Pole sana bwana Mangushi!!!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Mateso waliyopewa Babu zetu na Waarabu sasa wanayapata Watanzania kutoka kwa CCM wakishirikiana na vombo vya dola!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais wa Tanzania, team Mwendazake wote ningekuwa nishawasweka ndani, kizuizini au kuwapoteza wote

    Mwendazake ni kati ya candidates ambao wataenda motoni with flying colours!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

    Hiyo ndiyo MiCCM, wanafiki grade one, Hamza pamoja na kuwa mwanachama wao na mfadhili wamekataa kata kata kumtambua!!!!
Back
Top Bottom