Recent content by cliff

  1. cliff

    Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

    Nami navutiwa na majibu ya swali hili.
  2. cliff

    Maamuzi ya BRELA juu ya logo yangu

    Sidhani kama waneshusha similarity/mfanano mpaka 30% Mwaka 2017 nilihangaika na jina la biashara yangu mpaka nikaacha. Safari hii sasa mwezi na ushee, kila jina ninalopeleka linarudi hata kwa similarity ya 20%. Ni shida.
  3. cliff

    Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

    Bei gani? Pia hongera sana kwa jitihada kubwa.
  4. cliff

    Kodi za mabango ya biashara zikoje?

    Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara: 1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
  5. cliff

    Natafuta container moja la futi 20, Dar

    Natafuta kontena moja la futi 20, lifike Mbezi beach A. Bei gani? Usafiri bei gani? Bajeti yangu lakini 2M TSh. NB: liwe zuri, kamili na makaratasi yake. Asante. Jibu hapa, au tupigie: +255 713 359394, +255 759 763236
  6. cliff

    Used shipping containers for sale

    Hello, Natafuta container moja la futi 20, lifike Mbezi beach A. Bei gani? Usafiri bei gani? Bajeti yangu lakini 2M TSh. NB: liwe zuri, kamili na makaratasi yake. Asante
  7. cliff

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Bulola Buswelu Mwanza

    Kiwanja kidogo kinauzwa Bulola, Buswelu, Mwanza. - Kipo karibu na St. Helen English Medium Primary School. Kabla ya kuingia centre ya Buswelu. - Vipimo: 12x26m. - Documents zote za jiji zipo. - Ujirani umeendelea sana yaani miundo mbinu yote ipo; maji, umeme, barabara nk. - Bei 6.5M Sh tu...
  8. cliff

    Nahitaji kontena futi 20

    Lishauzwa! ============= Ninauza kontena futi 20. Ni zima kabisa. Bei 4M. Liko Mwanza, Nyakato Mwananchi. Nitumie PM kama unalihitaji.
  9. cliff

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    rasomaka: Uamuzi wako wa kutafuta ushauri ni mzuri sana. Unasema una kiwanja tayari Tabata Kinyerezi na una Sh 40M kwa ajili ya ujenzi peke yake. Huu ni mwanzo mzuri hasa kwa kuzingatia Kinyerezi ninayoijua ina ardhi nzuri na vifaa vya ujenzi hapa jijini Dar ni nafuu, kwa hiyo lazima...
  10. cliff

    Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Kimla: suwezi kukupinga kwani mahesabu yangu yanalenga kutoa mwanga kwa mjenzi kwa vile ni vigumu kuweka gharama zote kwa uhakika (maji, vibarua, kuchimba msingi, kusafisha kiwanja, kuset/kupima nyumba, udokozi, nk). Kwa mfano gharama za kujenga msingi hazipo kabisa. Kwa hiyo jumla ya 32M Sh...
  11. cliff

    Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Nitumie kwanza tuone. Mengine ni kushauriana halafu unafanya mwenyewe. Nina iimani kuna wataalamu wengi humu JF ambao wanaweza kukutengenezea ramani nzuri ikiwa na ramani ya paa pia.
  12. cliff

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Jestina: Ni kitambo sasa na watu wengi wameshakujibu. Nami napenda kukupa moyo. Kwa muhibu wa jedwali langu la kukadiria gharama za ujenzi, Shilingi milioni 20 zinaweza kufanya kazi kubwa. Kama umeshajenga msingi, unaweza kumaliza kujenga nyumba nzuri tu. Aidha nashauri ujenge msingi mzuri na...
  13. cliff

    Msaada: Makisio ya gharama za ufundi wa kujenga nyumba

    Master Legendary: Angalia jedwali hili linaweza kukusaidia. Nimelitolea maelezo marefu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/665266-mchanganuo-wa-kujenga-nyumba-ya-vyumba-vitatu-na-sebule-3.html#post11163200 Huko nimeweka mfano kamili ukiwa na ramani na jedwali...
  14. cliff

    Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

    Nashukuru. Itumie kisha unipe feedback. Nimeshaitumia kwa kutoa makadirio ya matifali haraka sana jamaa hawakuamini. Manake wengine wanahesabu vyumba au kwa kuangalia tu anakuambia utahitaji matofali elfu 3. Ukipiga hesabu unakuta unahitaji matofali elfu 2 tu. Si hasara kama umewekeza...
Back
Top Bottom