Recent content by Cliff Mzoma

  1. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Kabendera, Kitabu pekee hakina nguvu ya kumfanyia Mtu Character Assassination kwenye nchi Maskini hasa za Afrika

    Acha uongo wa Tz wasiye mpenda labda wewe na ukoo wenu
  2. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

    Aliyetuangusha nafikiri ni baba Yako Kwa kukuleta wewe
  3. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

    Vipi Hawa kina bibi kishundu wako watapata nini Mkuu?
  4. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

    Tatizo umekuja na majibu Yako, ila Gaucho ni Nabii wa Ufundi wote wa mpira hajawahi tokea mwingine.
  5. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Usipuuze ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala

    Hii ya kuota upo mazingira ya Nyumbani Ulikokulia yaani Bado upo Kwa wazazi wako, hii imekaaje Mkuu!
  6. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

    Rofa kwenye ubora eako
  7. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Nyuki akikung'ata, anakuongezea kiasi fulani cha Kinga mwilini.
  8. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

    Nilisha shikwa na tumbo la kuhala katikati ya mbuga ya Mikumi nikiwa ndani ya basi, ikabidi nimuombe dereva nishuke nikajisaidie
  9. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Kwenye list Yako,toa nguruwe
  10. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Kwenye list Yako,toa nguluwe
  11. Cliff Mzoma

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Pugu Dampo, Harufu ni kali pia Moshi wa takataka ni shida!
Back
Top Bottom