Recent content by Cley madekaz

  1. C

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    Kumshutumu mtu bila ushaidi wa kutosha ni kuvunja sheria kwa sisi waamini ni zambi usikute na wewe una sababu zako weka visibitisho ili tuamini ujue jamii forums inasomwa na watu wengi kuliko unavofikiri nini mwandishi ata wewe unaweza kwenda uko ukatuambia nini kinaendelea
  2. C

    JamiiForums Tanzania Porojo na Uhalisia Katika Kashfa ya Ndugai

    Kwani asingejiuzulu nini kingetokea yani angeuchuna tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Kumbe tuko wengi jamaa anauzi sana kelele mpaka kero
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameigomea bei elekezi ya Tsh 27,000

    Kama una laki nione one week umeme huo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    Apo ndo ujue hali si shwali check uzi ulivotulia pengine kila mtu ana shida na kazi au aliyo nayo haimtoshelezi pole ndugu kukosa kazi mjini ni azabu ata ya jela ndogo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Jamani hili jambo ni serious ebu vijana muhamasike ikibidi vipi ingieni mitaani kama wazulu hawa jamaa wanatuona minyumbu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Wabongo kama minyumbu simba mmoja anawatimua mia sijui lini tutakua na ujasili kama wa wazulu
  8. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Namkumbuka Chale enzi za mboe RIP Chales Franco Kabigi na Ninja Wangu David
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wasifu mfupi wa DC mpya wa Rorya, Juma "Mchopanga" Chikoka

    Labda ile kuect anafungua geti ndo watu wanamchukulia poa bogas wako watu walikua wakuu wa mkoa na elim ya kuunga unga itakua uyo msomi tena kwa wados
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuombana sukari na chumvi ni kuendeleza umasikini?

    Huku kwetu usipoomba unaambiwa unaringa alafu mi naona ni kuendeleza ujirani mwema
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

    Aisee kweli bora tuongozwe na wazenji wana hofu ya mungu kweli kweli uku kwetu bara wasanii wengi make hayo ya sabaya tu je na hao wengine tu tumeumia sana ndo mana mungu katuokoa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Wewe lazima utakua ni dactari kama sio basi ungesomea ungekua docta mzuli
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Hamna uchawi madaktari wataeleza vizuli lakini kwa uelewa mdogo ni mshtuko wa moyo ukijimwagia maji baridi gafla
  14. C

    JamiiForums Tanzania Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

    Una akili sana nimependa ideas yako
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Paul Makonda, utumishi wa umma utaendelea kuusoma kwenye magazeti

    Money toks MAKONDA +SABAYA Compony Lmd jamani mabosi hao tuchunge ndimi zetu
Back
Top Bottom