Recent content by Cleverman324

  1. Cleverman324

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Hakunaga mwanamke sahihi..Cha msingi ni kuwa na uweza wakuendesha mambo..mastering a game
  2. Cleverman324

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Miongozo na mifumo IPO..ni wewe tu kukomaza shipa
  3. Cleverman324

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hivi ni wewe ulikuwa pale makao makuu T R A...na kama ndio wewe basi shikamoo..pia Kuna code moja kama naifungua hivi...inanuhusu Nuru japo kwenye story umemtaja kwa jina lingine
  4. Cleverman324

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Yes unashusa dinner moja safi sana na chupa za moet za kutosha,,chama choma ni Bata mzinga sio tena mbuzi..alafu watakaohusika ni wale real blood wale washkaji kindakindaki..mambo ya mjomba wa makete au baba mdogo wa simiyu sitaki kuyaskua kabisa.
  5. Cleverman324

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Mi hata wakifika mamilioni ni poa tu..nafunga ndio kanisani tukimaliza zoezi linalofata ni kupiga picha hapo kanisani baada ya hapo nasepa na mchumba kizimkazi tukatengeneze watoto..kifupi harusi inaishia palepale church.atakaye amua kutupongeza sawa na Ambaye hata tupongeza pia sawa..labda Cha...
  6. Cleverman324

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Kuna ng'ombe moja iliplan gauni la laki nane na gari ya bi harusi ni vogue wakati biashara anayofanya ni kuuza juice na maji ..kipato chake hakifiki hata laki nne kwa mwezi.mzee wake mwnyewe hata ist Hana.. nikaona huu ni upuuzi nikapiga chini.
  7. Cleverman324

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Yes..mambo haya ya michango michango mara kamati ni upuuzi hasa kwa sisi watu wa hali za chini..huwezi Kuona upuuzi huu kwa a class people...kama una jambo lako plan bajeti yako sisi wengine tuwe waalikwa tu...haya mambo ya michango ni jau sana.mi nachangia misiba, matibabu au kumshika mtu mkono...
  8. Cleverman324

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Kuna mwamba ndugu zake walitaka kumfanyia harusi hizo. Bajeti ilikuwa 30m+,mhuni akaongea na mweka hazina akachukua 15m akanunua kiwanja goba kulangwa then akampooza mhazini 3m..ulikuwa mtiti mrefu wa kifamilia.ila mwamba akafanya harusi moja Kali sana. Alifanyia kwenye garden ya mjomba wake...
  9. Cleverman324

    Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

    Temeke hiyo..Kuna mhuni alikuwa anaitwa msolopa na mwanae Kosovo...Ila Kuna mitaa inaitwa taa nyekundu ...veterinary na magurue ni hatari....pia watoto wakushua walipatikana chang'ombe...na ushenzini ni unubini kwa kina mh temba bila kusahau keko yote.
  10. Cleverman324

    Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Ahsante sana kaka mad max..Mimi nilitaka nipate picha..Mana ninauwezo kwa kuchukua frem mbili kwa pamoja..kama ni duka la vipodozi niwekee Ila mlango mwingine niweke sehem ya kuutengeneza kucha na urembo mdogo mdogo...kama ni spare za pikipiki niweke na sehemu ya car wash kwa pembeni..naomba...
  11. Cleverman324

    Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
Back
Top Bottom