Recent content by Clever1

  1. Clever1

    Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

    We jamaa wa ajabu sana Dunia ya Leo una hifadhi pesa kwenye box😂
  2. Clever1

    Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

    Mvua inanyesha morogoro mwenzetu wa dar unajifunika mwamvuli
  3. Clever1

    Kwa miaka mingi watu wengi tulidhani Mikka Mwamba ni jamaa fulani jeusi la Kigoma kumbe jamaa ni chapa ya Trump kabisa

    Sio watu wengi sema wewe na watoto wenzako wa 2000 ndio mlikuwa amjui kama mikamwamba ni mzungu.
  4. Clever1

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Bila picha Uzi wako ni batili
  5. Clever1

    FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

    Nimecheka sana 😂
  6. Clever1

    Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

    UKIONA ELIMU NI GHARI BASI JARIBU UJINGA.
  7. Clever1

    Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Alisikika shemeji mvivu akisema....
  8. Clever1

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Pole sana mkuu hao ndio wanawake, ukiwajua wanawake umeyajua maisha ni rahisi sana mwanaume kuishi na mwanamke asiye na kazi ila ni ngumu sana mwanamke kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi.
  9. Clever1

    Najuta kumkaribisha demu wangu JF

    Sio kumsumbua tu tumeishapiga demu wako mwepesi kama maharage ya mbeya😂 Asante kwa kumshawishi bila ivyo wahuni tusingeteleza kama nyoka kwenye majani.
  10. Clever1

    Ndoa yangu ina hali tete

    Achapiwe mara ngapi mwambie ukweli kakutana na vijana wadogo wanasimamia mpaka kucha ndio maana ana muona jamaa yetu mzee😂 vijana wadogo wanasimamia kucha kama wapo kwenye mashindano ya kugombania kombe la Dunia 😂
Back
Top Bottom