Recent content by Clerk_son

  1. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Kutegemea na uhitaji kama ni tani1 basi ntaleta tani 1 kila week kama ni tani 2 basi nitaleta tani 2 kulingana na uhitaji na bei yenye maslai pia ata kama kg300 or 500 nisawa ntaleta kikubwa maslai Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Nimefanya ila nimeuliza huku ili kuweza kujua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Wapi huko Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Nataka kuanzisha biashara ya samaki kwa kuchukua mzigo kutoka mwanza nakusambaza mikoani ila naitaji kujua ziadi kuhusi vibari na ushuru pia na nimikoa gani ina uhitaji sana wa samaki. Pia samaki nitakao kuwa nasambaza ni SATO na SANGARA Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Nataka kuanzisha biashara ya samaki kwa kuchukua mzigo kutoka mwanza nakusambaza mikoani ila naitaji kujua ziadi kuhusi vibari na ushuru pia na nimikoa gani ina uhitaji sana wa samaki. Pia samaki nitakao kuwa nasambaza ni SATO na SANGARA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kitunguu maji niko arusha

    Kutokana na mawazo ya watu wengi na kuamasishwa na clouds tv nikaamua kufanyia kazi mawazo yao yakutafta fursa Niliamua kuingia kwenye kilimo cha kitunguu pamoja Changamoto nyingi nimekutana nazo lakin namshukulu mungu nimefikia hapa lakin natafuta soko mtu wakununua au kuniunganisha ili...
  7. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Ndege vita ya JWTZ iliyopita sasa hapa Dar mnaotaka chokochoko mjipange upya mtaumia

    [emoji16][emoji23][emoji23] Duuh ili jamaaa jinga tokauzaliwe ndo umeiona nini pole siyo kosa lako hayo mandeg nenda moro utakutana nayo kila baada ya miezi mitatu siyu kutuletea mada ambazo azina kichwa wala miguu kwani umesikia tanzania kuna vta [emoji23][emoji23] fiklia kablq yakuposti upuuz
  8. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

    Niamuz wako ngoja wenye vigozo watakuja
  9. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF tukutane hapa

  10. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF tukutane hapa

    Duuuh yan uku wameitwa wanawake vidume vshafka kbra yao[emoji23][emoji23] mmmmh me ngoja nikae[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  11. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

    Sasa Wakuu yani mkaa kabisa mnajadili mada ya dogo janja na uwoya wakati wakati hapo hakuna ukwel wowote maana mbea mkuu sudy brown mpka leo ajui ukwel na haamin sas sisi tunajadili au tunatabili
  12. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yoyote akitaka kufanya mapenzi wakati wowote anapata ila sio mwanaume

    Me napita tuu[emoji125][emoji125][emoji125] Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  13. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Mpaka msitishe hili ndo tatizo la nguvu za kiume litaisha

    Me napita tuu maana kilamtu Dr[emoji125] [emoji125] [emoji125]
  14. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Uyo nimzur inamaana anania na wewe so usilukeluke nawatt watakuchosha akili
  15. Clerk_son

    JamiiForums Tanzania Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Sure ndg hii ni point nzur
Back
Top Bottom