Unachokifanya ni kibaya San ndgu,ni uchafu mkubwa.kwahyo tambua unalofanya umkosei zaidi mkeo wala ndugu za mkeo wala nani ako yoyte yule bali tambua hapo unayemkosea ni Mola wako aliyeharamisha zinaa ila haliyehalalisha ndoa.
Kuna ugumu sana ukishadumbukia ktk zinaa,na zinaa ni deni brother...
Safi Sana ndugu, nakuunga mkono kwa asilimia mingi sana kwa kuwa nimekifatilia sana kitunguu swaumu na uwa nakitumia sana hata napopata magonjwa madogo madogo haya kama tumbo na mengineyo.
Lakini njia nayotumia mimi ni kula kitunguu swaumu na kunywa maji mengi sana zaidi ya Lita mbili kwa kuwa...
Tumia ndani ya wiki moja afu utatupa maendeleo yatavokuwa.dawa inayofaa ndani ya cku tatu lazima uanze kuona mabadiriko so wew Fanya hiyo dose kwa wiki moja,week ikiisha naamini majibu yatapatikana.Allah akujalie ndugu uwe sawa kama zamani.Ameen Ya Rabb
Maji na vitunguu swaumu na matunda kama ukiwa na huo uwezo wa kila cku kupata matunda hata aina mbil au tatu itafaa..ila Maji sana tumia na vitunguu swaumu
Nice mkuu kama hauna ilo tatizo jaribu kucheza na maji sana na vitunguu swaumu.naamini juu ya hiyo tiba ndugu yangu.fanya kwenda kwa huo utaratibu kama ukipata unafuu utatuletea urejesho humu maana yaweza ikawa solution kwako juu ya tatizo linalokuhusu.Fanya hivyo mkuu
Hivi ndo inavotakiwa watu tuwe katika hii mitandao ya kijamii,watu cku hizi mitandaoni hatufanyi mambo socially kabisa.mtu akitoa wazo watu hawampi support hata ya mawazo na unakuta mtu katoa wazo zuri lenye faida.na hii mambo naiona sana humu Jf.humu kuna watu kazi zao kukatisha wenzao...
Kwa asubuhi ukiamka tafuna punje mbili za vitunguu swaumu,baada ya hapo kaa hata kwa mda kidgo kunywa maji.mchana tenya Fanya hivyo tafuna punje mbili tulia mda flani ukipita kunywa maji na ucku sasa ongeza idadi ya punje hata mbili angalau ziwe punje nne tafuna vizuri tulia kidgo kunywa maji...
Badirisha utaratibu wa ulaji,pendelea kutumia sana maji Mara kwa Mara unapokuwa home kunywa maji mengi sana,alafu mboga za majani fatilia upikaji wake zisiwe ni zenye kupikwa mda mrefu.mboga za majani zipikwe na dakika chache au kama utaweza pendelea mboga za majani zilizochemshwa tena kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.