Recent content by Clemence Mwandambo

  1. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

    Watched wapambane na mbabe mbona waliwauwa vijana wa kitanzania bila huruma.
  2. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

    Maombi ni rubish
  3. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba Pole sana

    Ndoto za uraisi za January zinamuharibia mtoto wa Kikwete ndo maana kakatwa.
  4. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Hivi munapata wapi akili ya kusema Irani ameshinda? Wairani 600 wanekufa waisrael 24, Irani wamekufa makamanda wa jeshi na wanasayansi huo ushindi uko wapi?
  5. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

    WATANZANIA ni masikini na wanajiaibisha kwa umasikini wao. Tanzania ni taifa la laana, laana haitatoweka mpaka tutakapotoka kwenye makucha ya Nyerere.
  6. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

    Irani ikifanikiwa itayafanikisha na makundi inayoyafadhili, kwa hiyo Israel hawezi kukubali kichaa kumiliki panga. Korea kaskazini inayo kwa ajili ya ulinzi wake tu.
  7. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Kanisa ni Moja tu Mathayo 16:18 Wewe ni Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu. Ile ya Gwajima ni Huduma ya Kiroho siyo Kanisa!

    Hakuna kabisa lilijengwa juu ya Petro. Petro amefariki miaka mingi kabla ya kuanzishwa makanisa.
  8. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

    Hata wanaposwali lazima waangalie uarabuni. Hao na wenye dini kwa nini lazima unifunze kiarabu ndo Uwe muislamu.
  9. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Kagame, very smart and powerful president here in East Africa

    Munamsifia dikteta alafu huku Tanzania mnataka demokrasia si ndio. Basi tufute mfumo wa vyama vingi.
  10. Clemence Mwandambo

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ajilaumu kwa yanayomkuta - Absalom Kibanda

    Mbowe aondoke
Back
Top Bottom