Huwa wanalala wamevaa viatu kabisa lile jogoo la kwanza wapo stand wanaanza kukimbizana na mabasi, yaani ni mwendo wa kukimbia Alfajiri, mchana na usiku wa manane. Niliwahi kusubiri gari ya Mbagala Hadi saa Tano usiku.
Zanzibar maisha ni ghali sana hasa Bidhaa za vyakula ukitoa sukari kidogo.lakini vingine vyote vilivyobaki ni ghali sana,huku electronics na vyombo vya moto kama magari na pikipiki bei Chee.
Hakuna kama Dar,huko mikoani michosho tu Yani Bora waajiriwa wenye uhakika wa mshahara wa mwezi,ila Kwa mtafutaji sikushauri mikoani Bora upambane Dar,maana hao vijana wa mikoani wenyewe wanapaota Dar kila siku,wanaamini ndoto zao zitatimia Dar,ila lazima uwe na focus nzuri hard working,nidhamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.