us
Usijipendekeze kwa chadema kwa sababu tunawajua chadema hawana akili kama hiyo.Na akili ya jiwe,ambaye ni m/kiti wenu imechanganyikana na kinyesi.Ndio maana hata nchi inaporomoka kila kukicha.
utapeli mtupu,tuelezwe nani au ni taasisi gani imeandaa hizo tuzo?huwezi kusema eti hatuwezi kuwataja tuliowashindanisha.nadhani uongo na utapeli huo utaaminiwa na mazwazwa tu.
CHAMA HICHO KIMECHOKA HAKINA JIPYA.WATENDAJI WAMECHOKA HAWANA FIKRA,HIVI NIULIZE KUNA NAFASI AU UTARATIBU WA KIKATIBA KWA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA FLANI KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO?NI IPI NAFASI YA KIKATIBA YA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA FLANI KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO...
Tunamshukuru mtumishi wa Mungu kwa kuendelea kuiambia jamii ukweli.Na sote tunatakiwa kutambua ni kazi ya viongozi wa kiroho kukemea maovu pamoja na kusema iliyo kweli ya Kimungu.Ubarikiwe sana BABA ASKOFU.
Ila wenye akili na upeo hawamuoni kama unavyomouna wewe,sasa jitathimini upo kwenye kundi la wanaolambalamba wanaume wenzao na sifa asizostahili au ni binadamu mwenye kujua uhalisia na mwenye kusimamia misimamo sahihi na wasio na tabia za kujipendekeza kama za kwako.
Egnecious Nyamaza,huna cha kuwaambia watanzania ulichoandika ni upuuzi tu.Kwanza umesema umetokea Dodoma, sasa mi nadhan unyamaze kwa sababu huko kwenu karne hii bado mnahamasishwa kujenga vyoo. Sasa una ustaarabu gani wa kuwaeleza watu ulichoandika wakati bado mnajisaidia porini?Shame upon you.
Mbona wew unavyomsaliti mke wako husemi,kwann unasema tu kwamba chadema wamelisalti taifa.unajiadai kuandika kwa kirefu kweli kumbe ulichoandika ni maji taka tu.funga mdomo mchafu kama huna cha kuandika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.