Huu hapa usaliti wa CHADEMA kwa Taifa

Huu hapa usaliti wa CHADEMA kwa Taifa

Saiv issue inayotrend ni Mali za chama
Naambiwa hapa na Britannica boss kubwa kapigwa stop
 
Mleta mada ni ngumu kumsafisha rais aliyepo kwa Mtukio kama ya Bashite na Dc aliyekuwa Arumeru baada ya kutoa rushwa akapandishwa cheo na kuwa rc. Mheshimiwa rais angekuwa ana nia ya dhati kupinga rushwa asingefumbia macho uovu ule.
 
Hapo namba tatu umeharibu uzi mzima
Nioneshe fisadi papa aliyekamatwa
Waliouza nyumba za serikali wanadunda mtaani
Waliogawana mzigo wa escrow kwenye viroba wapo mtaani
Walituingiza kingi kwenye madini wapo bungeni
Hebu ujinga wako hapa
Hata namba 6, posho bado zinalipwa tena bila kukatwa kodi tofauti na posho za private.
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Walituaminisha Taifa ni Makamanda wazuri wa kupiga vita ufisadi lakini ghafla wakamsajili na kumsimamisha kugombea “Mtu” waliokuwa wakimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa kwa zaidi ya miaka 8 wamekuwa wakimsema sema kwenye majukwaa ya kisiasa.

2. Walimsema na kumtukana kwa madai kuwa anaongoza nchi kidhaifu na kilegelege wakati wanataka Mtu asiyetabasamu. Pindi alipopatikana Kiongozi Mkali, asiyecheka cheka wakabadili gia angani wakaanza kumwita “Dikteta”

3. Walisema Serikali inawaogopa Mafisadi Papa, haiwezi kuwakamata. Walipoona Mafisadi Papa wameanza kupandishwa Mahakamani wakajifisha sura ya huruma wa kinafki kuwa “Wale Wazee” hawakutakiwa kuambiwa wachuchumae. Wakasaliti kauli zao za Mafisadi Papa wapandishwe kizimbani!

4. Walisema Serikali inawashika Vidagaa wauzaji Madawa ya Kulevya na kuwaacha Wauzaji Mapapa. Serikali ikaamua kuwakamata na kuwataja hadharani watuhumiwa Papa wa uuzaji wa Dawa za kulevya. Mara wakaibuka Chadema na kusema si vizuri kuwakamata na kuwataja wanaotuhumiwa Mafisadi Papa wa Dawa za kulevya!

5. Chadema hao hao wakasema Serikali inawachekea Watumishi wasio waadilifu na Wazembe kazini kwani Wanatakiwa wawatimue. Ilipoanza zoezi la kuwatumbua na kuwafukuza Watumishi hao wazembe na hewa Chadema wakaibuka na “Sauti” zao za kinafki kuwa Serikali haiwatendei haki Watumishi na wapo tayari kuwatetea popote pale wale wanaotumbuliwa. Wamesahau msimamo wao wa nyuma.

6. Walikuwa wakisema Serikali ya CCM inaendekeza anasa za kulipana posho kubwa, semina na warsha zisizo isha kuliko Maendeleo. Leo hii Srikali hiyo hiyo ya CCM imefuta posho, semina na warsha zilizokuwa kero kwao wanaanza kusema Serikali hii ni katili, dikteta na inawaumiza Watumishi kwani mitaai vyuma vimekaza! Usaliti wa kiwango cha juu.

7. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 walisema wakiingia madarakani watamtoa Babu Seya! Hawakuingia, badala yake Rais Magufuli akatumia madaraka yake aliyopewa kikatiba kuwatoa Babu Seya wakaibuka kuwa JPM amevunja katiba. Lahaula! Wanasahau kabisa ahadi waliyoitoa miaka 2 iliyopita.

8. Walikuwa wakibwata sana kuwa Mashirika yetu ya umma yamekufa kabisa, leo hii Rais Magufuli anayafufua kwa kasi kubwa wanaanza kulaumu. Ndege zinanunuliwa wanalaumu hazina faida, reli ya standard gauge inajengwa wanasema ni upotezaji wa pesa kwa kuwekeza kwenye vitu kuliko Watu. Wanashindwa kuelewa hivyo vitu vipo kuwanufaisha watu.

9. Walisema sana kuwa Madini yetu tunaibiwa na hayatunufaishi Watanzania, Serikali ilipoanza kuyadhibiti na kuwadhibitia makampuni ya uchimbaji wakaibuka na kusema tutashtakiwa na badala tuwaache tu waendelee kusomba makinikia, kusomba mchanga wa madini. Yaani hata ujenzi wa Ukuta wa Mererani wakasema ni matumizi mabaya ya pesa za umma wanasahau ukuta huo ni njia ya kudhibiti madini yetu yasitoroshwe, wanasahau ndio wao wao Chadema walikuwa wakibiga kelele kuwa tunaibiwa, usaliti wa hali ya juu!!

10. Walimsema sana Rais Mstaafu Mzee Kikwete anasafiri sana safari nje ya nchi kwani ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi. Leo hii hao hao Chadema wanahoji kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi. Lahaula! Lipi jema kwao? Kama wameweza kusaliti kauli zao na matendo yao, ni lipi watafanya waaminike kwa jamii?

Nikitazama unafki na usaliti huu wa Chadema kwa Taifa, namkumbuka JPM na kauli yake. Rais Magufuli aliwahi kusema: “Kuna Watu hata ukiwa unaogelea kwenye maji watasema unawatimulia vumbi”

*Rais Magufuli chapa kazi. Watanzania Wazalendo tunakupenda, tunakuombea na tupo pamoja nawe*

*Shilatu E.J*
Ukoo wa Shilatu, ni moja kati ya koo zenye laana kubwa Tanzania ,Babu yao Shilatu alibaka bintiye na kumzalisha,Shilatu maana yake "viatu ",jitu puuzi Sana hili, kazi kujikomba kwa watawala pumbavu.
 
Chadema ni chama cha kinafiki sana walahi.
Mungu akiulie mbali na atuepushe nao.
Words cant describe aise
 
Hapo namba tatu umeharibu uzi mzima
Nioneshe fisadi papa aliyekamatwa
Waliouza nyumba za serikali wanadunda mtaani
Waliogawana mzigo wa escrow kwenye viroba wapo mtaani
Walituingiza kingi kwenye madini wapo bungeni
Hebu ujinga wako hapa
Halafu wewe sijui fisadi mamvi ni babu yako maana kila akitajwa fisadi mamvi basi unakuwa wa kwanza kuja kupinga,kama babu yako nendeni mkachunge nae mbuzi
 
*Na Emmanuel J. Shilatu*

1. Walituaminisha Taifa ni Makamanda wazuri wa kupiga vita ufisadi lakini ghafla wakamsajili na kumsimamisha kugombea “Mtu” waliokuwa wakimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa kwa zaidi ya miaka 8 wamekuwa wakimsema sema kwenye majukwaa ya kisiasa.

2. Walimsema na kumtukana kwa madai kuwa anaongoza nchi kidhaifu na kilegelege wakati wanataka Mtu asiyetabasamu. Pindi alipopatikana Kiongozi Mkali, asiyecheka cheka wakabadili gia angani wakaanza kumwita “Dikteta”

3. Walisema Serikali inawaogopa Mafisadi Papa, haiwezi kuwakamata. Walipoona Mafisadi Papa wameanza kupandishwa Mahakamani wakajifisha sura ya huruma wa kinafki kuwa “Wale Wazee” hawakutakiwa kuambiwa wachuchumae. Wakasaliti kauli zao za Mafisadi Papa wapandishwe kizimbani!

4. Walisema Serikali inawashika Vidagaa wauzaji Madawa ya Kulevya na kuwaacha Wauzaji Mapapa. Serikali ikaamua kuwakamata na kuwataja hadharani watuhumiwa Papa wa uuzaji wa Dawa za kulevya. Mara wakaibuka Chadema na kusema si vizuri kuwakamata na kuwataja wanaotuhumiwa Mafisadi Papa wa Dawa za kulevya!

5. Chadema hao hao wakasema Serikali inawachekea Watumishi wasio waadilifu na Wazembe kazini kwani Wanatakiwa wawatimue. Ilipoanza zoezi la kuwatumbua na kuwafukuza Watumishi hao wazembe na hewa Chadema wakaibuka na “Sauti” zao za kinafki kuwa Serikali haiwatendei haki Watumishi na wapo tayari kuwatetea popote pale wale wanaotumbuliwa. Wamesahau msimamo wao wa nyuma.

6. Walikuwa wakisema Serikali ya CCM inaendekeza anasa za kulipana posho kubwa, semina na warsha zisizo isha kuliko Maendeleo. Leo hii Srikali hiyo hiyo ya CCM imefuta posho, semina na warsha zilizokuwa kero kwao wanaanza kusema Serikali hii ni katili, dikteta na inawaumiza Watumishi kwani mitaai vyuma vimekaza! Usaliti wa kiwango cha juu.

7. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 walisema wakiingia madarakani watamtoa Babu Seya! Hawakuingia, badala yake Rais Magufuli akatumia madaraka yake aliyopewa kikatiba kuwatoa Babu Seya wakaibuka kuwa JPM amevunja katiba. Lahaula! Wanasahau kabisa ahadi waliyoitoa miaka 2 iliyopita.

8. Walikuwa wakibwata sana kuwa Mashirika yetu ya umma yamekufa kabisa, leo hii Rais Magufuli anayafufua kwa kasi kubwa wanaanza kulaumu. Ndege zinanunuliwa wanalaumu hazina faida, reli ya standard gauge inajengwa wanasema ni upotezaji wa pesa kwa kuwekeza kwenye vitu kuliko Watu. Wanashindwa kuelewa hivyo vitu vipo kuwanufaisha watu.

9. Walisema sana kuwa Madini yetu tunaibiwa na hayatunufaishi Watanzania, Serikali ilipoanza kuyadhibiti na kuwadhibitia makampuni ya uchimbaji wakaibuka na kusema tutashtakiwa na badala tuwaache tu waendelee kusomba makinikia, kusomba mchanga wa madini. Yaani hata ujenzi wa Ukuta wa Mererani wakasema ni matumizi mabaya ya pesa za umma wanasahau ukuta huo ni njia ya kudhibiti madini yetu yasitoroshwe, wanasahau ndio wao wao Chadema walikuwa wakibiga kelele kuwa tunaibiwa, usaliti wa hali ya juu!!

10. Walimsema sana Rais Mstaafu Mzee Kikwete anasafiri sana safari nje ya nchi kwani ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi. Leo hii hao hao Chadema wanahoji kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi. Lahaula! Lipi jema kwao? Kama wameweza kusaliti kauli zao na matendo yao, ni lipi watafanya waaminike kwa jamii?

Nikitazama unafki na usaliti huu wa Chadema kwa Taifa, namkumbuka JPM na kauli yake. Rais Magufuli aliwahi kusema: “Kuna Watu hata ukiwa unaogelea kwenye maji watasema unawatimulia vumbi”

*Rais Magufuli chapa kazi. Watanzania Wazalendo tunakupenda, tunakuombea na tupo pamoja nawe*

*Shilatu E.J*
 
Halafu wewe sijui fisadi mamvi ni babu yako maana kila akitajwa fisadi mamvi basi unakuwa wa kwanza kuja kupinga,kama babu yako nendeni mkachunge nae mbuzi
Kweli nyie mafala sana! Bwana yenu alipotembelewa na Lowassa alisema nini juu ya Lowassa mbele ya kamera? Alimsifu na kumtukuza sana. Iweje nyie bado mnamwita fisadi? Wakati kila asemacho kwenu ni maneno matakatifu?
Ngoja tuone hiyo ripoti ya Mali za chama kama utasikia Edo aliwahi kuonja Mali hizo zaidi ya hawa mashakubimbi wanao mtukana kila siku
 
Mkuuuu umewapa za uso huuu uzi utakosa wachangiaji maaana wengi humu wamejaaa wanafiki tu

kwa sbb alichoandika Shilatu ni none sense kamati ya ubunge ilitaja maazimio matano ikiwemo kuwafikisha mahakamani wanasiasa wote waliousika na kashfa ya escrow wakiwemo waliogawana mabilioni ya benki ya mkombozi na akina Prof.Muhongo hakuna hata mmoja aliyechulkuliwa hatua ktk wanasiasa wote mpk waliorudisha pesa walizoongwa hadharani aliyewaonga yuko mahakamani waliopokea hongo akiwemo chenge na genge lake wako uraiani
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Walituaminisha Taifa ni Makamanda wazuri wa kupiga vita ufisadi lakini ghafla wakamsajili na kumsimamisha kugombea “Mtu” waliokuwa wakimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa kwa zaidi ya miaka 8 wamekuwa wakimsema sema kwenye majukwaa ya kisiasa.

2. Walimsema na kumtukana kwa madai kuwa anaongoza nchi kidhaifu na kilegelege wakati wanataka Mtu asiyetabasamu. Pindi alipopatikana Kiongozi Mkali, asiyecheka cheka wakabadili gia angani wakaanza kumwita “Dikteta”

3. Walisema Serikali inawaogopa Mafisadi Papa, haiwezi kuwakamata. Walipoona Mafisadi Papa wameanza kupandishwa Mahakamani wakajifisha sura ya huruma wa kinafki kuwa “Wale Wazee” hawakutakiwa kuambiwa wachuchumae. Wakasaliti kauli zao za Mafisadi Papa wapandishwe kizimbani!

4. Walisema Serikali inawashika Vidagaa wauzaji Madawa ya Kulevya na kuwaacha Wauzaji Mapapa. Serikali ikaamua kuwakamata na kuwataja hadharani watuhumiwa Papa wa uuzaji wa Dawa za kulevya. Mara wakaibuka Chadema na kusema si vizuri kuwakamata na kuwataja wanaotuhumiwa Mafisadi Papa wa Dawa za kulevya!

5. Chadema hao hao wakasema Serikali inawachekea Watumishi wasio waadilifu na Wazembe kazini kwani Wanatakiwa wawatimue. Ilipoanza zoezi la kuwatumbua na kuwafukuza Watumishi hao wazembe na hewa Chadema wakaibuka na “Sauti” zao za kinafki kuwa Serikali haiwatendei haki Watumishi na wapo tayari kuwatetea popote pale wale wanaotumbuliwa. Wamesahau msimamo wao wa nyuma.

6. Walikuwa wakisema Serikali ya CCM inaendekeza anasa za kulipana posho kubwa, semina na warsha zisizo isha kuliko Maendeleo. Leo hii Srikali hiyo hiyo ya CCM imefuta posho, semina na warsha zilizokuwa kero kwao wanaanza kusema Serikali hii ni katili, dikteta na inawaumiza Watumishi kwani mitaai vyuma vimekaza! Usaliti wa kiwango cha juu.

7. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 walisema wakiingia madarakani watamtoa Babu Seya! Hawakuingia, badala yake Rais Magufuli akatumia madaraka yake aliyopewa kikatiba kuwatoa Babu Seya wakaibuka kuwa JPM amevunja katiba. Lahaula! Wanasahau kabisa ahadi waliyoitoa miaka 2 iliyopita.

8. Walikuwa wakibwata sana kuwa Mashirika yetu ya umma yamekufa kabisa, leo hii Rais Magufuli anayafufua kwa kasi kubwa wanaanza kulaumu. Ndege zinanunuliwa wanalaumu hazina faida, reli ya standard gauge inajengwa wanasema ni upotezaji wa pesa kwa kuwekeza kwenye vitu kuliko Watu. Wanashindwa kuelewa hivyo vitu vipo kuwanufaisha watu.

9. Walisema sana kuwa Madini yetu tunaibiwa na hayatunufaishi Watanzania, Serikali ilipoanza kuyadhibiti na kuwadhibitia makampuni ya uchimbaji wakaibuka na kusema tutashtakiwa na badala tuwaache tu waendelee kusomba makinikia, kusomba mchanga wa madini. Yaani hata ujenzi wa Ukuta wa Mererani wakasema ni matumizi mabaya ya pesa za umma wanasahau ukuta huo ni njia ya kudhibiti madini yetu yasitoroshwe, wanasahau ndio wao wao Chadema walikuwa wakibiga kelele kuwa tunaibiwa, usaliti wa hali ya juu!!

10. Walimsema sana Rais Mstaafu Mzee Kikwete anasafiri sana safari nje ya nchi kwani ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi. Leo hii hao hao Chadema wanahoji kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi. Lahaula! Lipi jema kwao? Kama wameweza kusaliti kauli zao na matendo yao, ni lipi watafanya waaminike kwa jamii?

Nikitazama unafki na usaliti huu wa Chadema kwa Taifa, namkumbuka JPM na kauli yake. Rais Magufuli aliwahi kusema: “Kuna Watu hata ukiwa unaogelea kwenye maji watasema unawatimulia vumbi”

*Rais Magufuli chapa kazi. Watanzania Wazalendo tunakupenda, tunakuombea na tupo pamoja nawe*

*Shilatu E.J*
Mmmmh umeandikaaa ingawa mimi ni CCM damu damu naomba nikuulize kitu kimoja tu, huyu fisadi aliyesajiliwa CDM si alitoka kwetu? Sisi tuna vyombo vya dola wakati wao wanamsema huyu ni fisadi sisi tulimkingia kifua kuwa sio fisadi na alipohamia kwao tukaanza kumwita fisadi mtu tuliyesema sio fisadi. Sasa tunashindwa nini kumkamata na kumfikisha mahakamani kama ushahidi tunao? Haya mengine uliyoyaandika ni ya kufikirika tu ila hili la ufisadi tushughulike nalo kwani mahakama za mafisadi si zipo na hazina washitakiwa? Kingine juzi report ya mali za chama imetoka je huyu fisadi aliyehamia CDM jina lake lipo? Je kwa nini hujawasema hawa waliotajwa kwenye ufisadi wa mali za chama chetu katka report? Je wasipohama CCM tutawakalia kimya au tutawaanika?
 
Na Emmanuel J. Shilatu

1. Walituaminisha Taifa ni Makamanda wazuri wa kupiga vita ufisadi lakini ghafla wakamsajili na kumsimamisha kugombea “Mtu” waliokuwa wakimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa kwa zaidi ya miaka 8 wamekuwa wakimsema sema kwenye majukwaa ya kisiasa.

2. Walimsema na kumtukana kwa madai kuwa anaongoza nchi kidhaifu na kilegelege wakati wanataka Mtu asiyetabasamu. Pindi alipopatikana Kiongozi Mkali, asiyecheka cheka wakabadili gia angani wakaanza kumwita “Dikteta”

3. Walisema Serikali inawaogopa Mafisadi Papa, haiwezi kuwakamata. Walipoona Mafisadi Papa wameanza kupandishwa Mahakamani wakajifisha sura ya huruma wa kinafki kuwa “Wale Wazee” hawakutakiwa kuambiwa wachuchumae. Wakasaliti kauli zao za Mafisadi Papa wapandishwe kizimbani!

4. Walisema Serikali inawashika Vidagaa wauzaji Madawa ya Kulevya na kuwaacha Wauzaji Mapapa. Serikali ikaamua kuwakamata na kuwataja hadharani watuhumiwa Papa wa uuzaji wa Dawa za kulevya. Mara wakaibuka Chadema na kusema si vizuri kuwakamata na kuwataja wanaotuhumiwa Mafisadi Papa wa Dawa za kulevya!

5. Chadema hao hao wakasema Serikali inawachekea Watumishi wasio waadilifu na Wazembe kazini kwani Wanatakiwa wawatimue. Ilipoanza zoezi la kuwatumbua na kuwafukuza Watumishi hao wazembe na hewa Chadema wakaibuka na “Sauti” zao za kinafki kuwa Serikali haiwatendei haki Watumishi na wapo tayari kuwatetea popote pale wale wanaotumbuliwa. Wamesahau msimamo wao wa nyuma.

6. Walikuwa wakisema Serikali ya CCM inaendekeza anasa za kulipana posho kubwa, semina na warsha zisizo isha kuliko Maendeleo. Leo hii Srikali hiyo hiyo ya CCM imefuta posho, semina na warsha zilizokuwa kero kwao wanaanza kusema Serikali hii ni katili, dikteta na inawaumiza Watumishi kwani mitaai vyuma vimekaza! Usaliti wa kiwango cha juu.

7. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 walisema wakiingia madarakani watamtoa Babu Seya! Hawakuingia, badala yake Rais Magufuli akatumia madaraka yake aliyopewa kikatiba kuwatoa Babu Seya wakaibuka kuwa JPM amevunja katiba. Lahaula! Wanasahau kabisa ahadi waliyoitoa miaka 2 iliyopita.

8. Walikuwa wakibwata sana kuwa Mashirika yetu ya umma yamekufa kabisa, leo hii Rais Magufuli anayafufua kwa kasi kubwa wanaanza kulaumu. Ndege zinanunuliwa wanalaumu hazina faida, reli ya standard gauge inajengwa wanasema ni upotezaji wa pesa kwa kuwekeza kwenye vitu kuliko Watu. Wanashindwa kuelewa hivyo vitu vipo kuwanufaisha watu.

9. Walisema sana kuwa Madini yetu tunaibiwa na hayatunufaishi Watanzania, Serikali ilipoanza kuyadhibiti na kuwadhibitia makampuni ya uchimbaji wakaibuka na kusema tutashtakiwa na badala tuwaache tu waendelee kusomba makinikia, kusomba mchanga wa madini. Yaani hata ujenzi wa Ukuta wa Mererani wakasema ni matumizi mabaya ya pesa za umma wanasahau ukuta huo ni njia ya kudhibiti madini yetu yasitoroshwe, wanasahau ndio wao wao Chadema walikuwa wakibiga kelele kuwa tunaibiwa, usaliti wa hali ya juu!!

10. Walimsema sana Rais Mstaafu Mzee Kikwete anasafiri sana safari nje ya nchi kwani ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi. Leo hii hao hao Chadema wanahoji kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi. Lahaula! Lipi jema kwao? Kama wameweza kusaliti kauli zao na matendo yao, ni lipi watafanya waaminike kwa jamii?

Nikitazama unafki na usaliti huu wa Chadema kwa Taifa, namkumbuka JPM na kauli yake. Rais Magufuli aliwahi kusema: “Kuna Watu hata ukiwa unaogelea kwenye maji watasema unawatimulia vumbi”

*Rais Magufuli chapa kazi. Watanzania Wazalendo tunakupenda, tunakuombea na tupo pamoja nawe*

*Shilatu E.J*
Mbona wew unavyomsaliti mke wako husemi,kwann unasema tu kwamba chadema wamelisalti taifa.unajiadai kuandika kwa kirefu kweli kumbe ulichoandika ni maji taka tu.funga mdomo mchafu kama huna cha kuandika
 
Back
Top Bottom