Hutaweza kupandikiza migogoro kwenye chama cha CHADEMA, mambo hayo huwa mnayafanyaga huko kwenu. Kama huko kwenu CCM mna demokrasia na wewe ni mwanaume kweli chukua fomu ya kogombea Urais uone utakavyotomaswa tomaswa.
Tunakushukuru Baba askofu kwa neno la faraja,ILA VIONGOZI WA DINI WA TAIFA HILI WAJUE KWAMBA WANANCHI WAKISHAONA KWAMBA VIONGOZI WA DINI SIO FARAJA KWAO TENA AU SIO WATETEZI TENA,NA KWA MAANA HIYO WANANCHI WAKAONA VIONGOZI WA DINI WANATETEA MAOVU,BASI TUJUE HUO UTAKUWA MWISHO WA TANZANIA YENYE...
Da ndugu watanzania tulipofika sasa ni mapabaya sana.historia za watu kama wakina musolini,hitler,na wengineo walitumia njia ya makundi mbali mbali kuwasafisha na kuwaabudu
Mlaleo,
Halafu kwa kuongezea Roma ni mwalimu na ni graduate yule. Mwambie mzee atulie dawa iingie vizuri.anavyojitingisha hivyo sindano itavunjikia ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.