Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,536
- 122,955
Majungu hayo, alikualika alipokuwa anafanya hayo?
Hawezi nishirikisha maana mimi sio muovu wala dhalimu, ila ni yeye fullstop.
Majungu hayo, alikualika alipokuwa anafanya hayo?
Hawezi nishirikisha maana mimi sio muovu wala dhalimu, ila ni yeye fullstop.
Mtamkunbuka magufuli nyie mnaokula makombo mezani kwake. Kama tusivyomheshimu Mkapa ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.Unaongelea Mwl Nyerere yupi? Mbona mlimwita haambiliki leo hii nyie tena ndio mmekuwa mstari wa mbele kujitamba kwamba mlikuwa mnamkubali. Bado hatujasahau jinsi mlivyokuwa mnamkebehi leo hii baada ya kufa ndio mnamwona alikuwa mzuri? Hata Magufuli akiondoka baada ya muda wake mtakuja na kusema bora Magufuli angekuwepo, ni binadamu ambao hamna shukrani mmejaa usaliti mioyoni mwenu. Hata muda haujapita kila uchwao mlimsimanga JK ohhh anatembea kama Vasco da Gama etc leo mnamlilia kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kuongoza na mlifanya Tanzania dangulo la wauza unga na wezi wa meno ya Tembo nk.
Watanzania wengi hawana shukrani tu pamoja na wewe. Kwanza hufahamu maana ya Demokrasi kwa sababu 1. Demokrasi sio kwa sababu wewe binafsi na kikundi chako cha vikaragosi mna chuki binafsi then mnakuja na ngonjera kusema kwamba hakuna demokrasi. Kwa faida yako na makasuku wenzako tafsri ya Demokrasi hapa chini:
''Democracy is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic development and constitution. Some cornerstones of these issues are freedom of assembly and speech, inclusiveness and equality, membership, consent, voting, right to life and minority rights.''
Kama lugha imekupiga chenga shauri yako. Sasa kama wewe umekwazika sema ni lipi hapo ambalo unasema limekukwaza kwa ushahidi sio kuleta viroja kwenye hoja muhimu. Majungu peleka kwa makasuku wenzako.
Mtamkunbuka magufuli nyie mnaokula makombo mezani kwake. Kama tusivyomheshimu Mkapa ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.
Natamani apite kusoma
Dunia nzima inajua kuwa Tanzania mikononi mwako haina Demokrasia ,umefanya kila unaloweza kuua Demokrasia na Uhuru wa Habari.
Mimi hapa nakuandikia nikiwa natumia ID fake ili kulinda usalama wangu.
Lakini jukwaa hili la Jamiiforums nalotumia linaandamwa na serikali ili litoe siri au majina halisi ya wakosoaji wa serikali humu, na hadi sasa Kesi ipo mahakamani.
Wewe ni mkuu wa nchi, mfalme wa taifa la Tanzania, kutamka kwako hadharani kwamba eti Tanzania ina Demokrasia kubwa, ni kuwadhihaki watu wako uliowanyima haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka.
Nikueleze wazi kwamba tangu umeingia madarakani umesahau kabisa kuwa maisha yana kesho, leo hii wewe ni Rais ila siku zijazo hutakuwa Rais tena, na hawa wanaokupa sifa kila siku hata ambako hustahili watakugeuka wote na kuanza kumsifia Rais atakayekuwa madarakani.
Mh Rais, hofu yako iko wapi hasa? mbona kuna sehemu unafanya vizuri kiasi cha kukubalika na watu automatically? Kwanini umekubali kuchoreshwa kiasi hicho?
Yaani wewe ni Binadamu, una mapungufu mengi tu sasa iweje ukubali kusifiwa kiasi hicho na wanaokukosoa waonekane wabaya?
Mwl Nyerere aliulizwa swali na mwandishi wa BBC enzi za uhai wake akiwa Rais mwaka 1983.
"Why are you getting ready to retire? "
Mwl Nyerere alijibu.
"Because I need to create a fresh legacy of mine and my country as well ".
Leo hii watanzania tunajivunia Mwl Nyerere, hata mabeberu walimpenda na kumwogopa Mwl.
Nyerere aliwahi kumshauri Kaunda na kumwambia.
"Mzee mwenzangu, achia madaraka kabla watu hawajakuchoka ".
Kaunda alikuwa Kiburi, hakuwa na hekima, hakusikiliza ushauri wa Mwl, matokeo yake alikuja kuondoka madarakani kwa aibu kubwa mno.
Wazambia hawana Rais wa kujivunia Kama sisi watanzania tunavyojivunia kwa Nyerere.
Ni kwa sababu Kaunda hakuacha Legacy nzuri.
Kikwete ameondoka madarakani na kuacha Legacy ya kuheshimu mfumo wa vyama vingi na Demokrasia.
Miaka ya nyuma Kati ya 1980 au 1984 Tanzania ilikumbwa na balaa la njaa, Nyerere hakuwaambia watanza nia kwamba ni wavivu na hawalimi watakufa njaa...
Alikimbilia Marekani kuomba msaada wa Chakula kwa ajili ya watu wake, msaada ulikuja haraka na malori yakaanza kusambaza Chakula nchi nzima, kila kaya iligawiwa Chakula cha kutosha, Mahindi ya njano, Burga (American meal) Maziwa ya unga pamoja na mafuta ya kupikia.
Wananchi walikula na kusaza hadi balaa la njaa lilipoisha .
Je wewe utaacha Legacy gani kwa taifa lako?
Rejea ya Tetemeko la Bukoba, MV Nyerere, Wafanyakazi, Demokrasia na Uhuru wa Habari, Uchumi wa nchi na anguko kuu la Mihimili ya Serikali.
=====
Maoni ya Wadau
[/QUO
KWA MAMBO AMBAYO JIWE ANAWAFANYIA WAPINZANI NI SAWASAWA NA UNAPIGANA NA MTU ALAFU ANAKUCHEZESHEA VTASA VYA AJABU HALAFU WEWE UNAAMUA KUNG'ATA BAADA YA KUONA NGUMI ZIMEKUWA KALI.KWA HIYO JIWE ANANG'ATA KWA VITASA ANAVYOPEWA
Safi Sana..ila point yangu ipo hapo kwenye maana ya Demokrasia..ni kwa mujibu wa Nani? Maana hainaga conventional meaning..Abraham Lincoln alikuwa na tafsiri yake..JPM our excellence pia anayo maana take ya Demokrasia..ambayo ndio ya kwetu CCM.CDM wanayo maana ya Demokrasia. Democracy is not like a Coca-Cola..haya tiririka hiyo maana ya kidhungu umeipata wapi..scholar gani huyo umemkariri..😃Unaongelea Mwl Nyerere yupi? Mbona mlimwita haambiliki leo hii nyie tena ndio mmekuwa mstari wa mbele kujitamba kwamba mlikuwa mnamkubali. Bado hatujasahau jinsi mlivyokuwa mnamkebehi leo hii baada ya kufa ndio mnamwona alikuwa mzuri? Hata Magufuli akiondoka baada ya muda wake mtakuja na kusema bora Magufuli angekuwepo, ni binadamu ambao hamna shukrani mmejaa usaliti mioyoni mwenu. Hata muda haujapita kila uchwao mlimsimanga JK ohhh anatembea kama Vasco da Gama etc leo mnamlilia kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kuongoza na mlifanya Tanzania dangulo la wauza unga na wezi wa meno ya Tembo nk.
Watanzania wengi hawana shukrani tu pamoja na wewe. Kwanza hufahamu maana ya Demokrasi kwa sababu 1. Demokrasi sio kwa sababu wewe binafsi na kikundi chako cha vikaragosi mna chuki binafsi then mnakuja na ngonjera kusema kwamba hakuna demokrasi. Kwa faida yako na makasuku wenzako tafsri ya Demokrasi hapa chini:
''Democracy is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic development and constitution. Some cornerstones of these issues are freedom of assembly and speech, inclusiveness and equality, membership, consent, voting, right to life and minority rights.''
Kama lugha imekupiga chenga shauri yako. Sasa kama wewe umekwazika sema ni lipi hapo ambalo unasema limekukwaza kwa ushahidi sio kuleta viroja kwenye hoja muhimu. Majungu peleka kwa makasuku wenzako.
ni kweli tunahitaji demokrasia ya ukweli na si ubabe na ujanja ujanja, haiwezekani toka mwaka 92 mpaka leo mwenyekiti wa CDM yupo tu madarakani na hataki kung'atuka. anabadili vipengele vya katiba ili afie madarakani. watanzania tukatae huu udikteta.
Nchi haiendeshwi kama unavyotaka msukuma eidha tafuta kisiwa uishi pekeyako.Nawaambia msipo badilika mtakoma, magufuli ni jiwe kwelikweli hawezi lainishwa na vimaneno vya kwenyekanga. Narudia tena, msipobadilika mtakomaa
TL huna ushahidi, ni majungu tu yanaendelea. Chadema inasemekana wanahusika na wengine wwanasema CCTV ziliondolewa etc lakini mwenye kesi ameitelekeza hataki kuja kutoa ushahidi wake. Pengine muulize Zito maana ana urafiki mkubwa sana na TL siku za hivi karibuni hivyo hakuna anayefahamu hasa what is cooking.
Akwilina (RIP) aliuawa kwenye maandamano ambayo yalipigwa marufuku na Polisi, kesi ipo mahakamani kama sikosei, sasa unataka mimi niseme nini?
Mkuu Kwanini Mbowe anawatesa sana?
Huyo achaneni naye hana impact yoyote na maisha ya watanzania.
Hicho kinywaji unachotumia acha kina madhara kwa afya ya ubongo wako.
anakanyaga katiba yao huyo KUB? usichanganye minara
Kwahiyo Kawe Alumni akishaukwaa uDC au DAS ndio atapotea moja kwa moja na ataacha kusifia?Hao walishafanikisha teuzi,kazi zao zimewalipa