si kweli mzee, mi ni mkazi wa Arusha mjini,MH Lema 2010 hata mimi nilimpa kura ila 2015 hapati tena ,si mimi tu ni watu kibao hatumpiiiiiiiiiiiiii tena hakuna alichofanya Arusha kumrudishia ubunge ni zero wisdom yule.
Acheni kupotosha ,ni wana ccm gani wana imani na mamvi?alichosema Nape ni very clear,ccm hawaweza kusimamisha
mtu ambaye ana kashfa kibao,kuna wapinzani nao wanataka waingie ikulu itakuwa rahisi sana kwao kuchukua nchi endapo huyo mamvi atasimamishwa kitu ambacho ccm hawako tayari kitokee,ni...
kwa vile wewe ndie utapiga kura zoteeee, ivi mnafikiri wananchi wa arusha ni wapumbavu kiivyo awe mbunge kwa kipi alichofanya since 2010-2015 ni zero kabisa, nyie vipi bwana.
kutaka si lazima kuwa,mfano unaweza kutaka kuwa na gari zuri lakini ukashindwa hicho ni kiswahili tu wabongo mbona tunakoseaga sana,rais si malaika bandugu
walienda kujificha kwenye magari baada ya kuona polisi wamepamba moto hoja ya msingi hapa ni kwanini hao jamaa wengine 30 hawajawekewa mawakili wa kuwatoa ndani kama proff ua wao si watu.
VODACOM wamekuwa wezi wa mchana kweupeeeeeee nilisikia kuna tume inashughulikia wizi kama huu, ivi hao jamaa wanalipwa mshahara for what. haka kanchi kila mtu anataka kumwibia mtanzania myonge,mimi juzi tu niliibiwa sh 500 na hawa hawa vodacom wakanipa no na kwamba nitashughulikiwa cha ajabu...
unashangaa Polisi mbona hushangai wauaji waliojaa mitaani wanaua kila leo albino na jamaa zetu wengi tu,mi naona poa tu.sijaona mtu akifa hapo ni vipigo vya kawaida kabisa kuweka displine mtaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.