Recent content by Clarity

  1. Clarity

    JamiiForums Tanzania Rushwa uhamiaji sio poa (Wachina, Wakenya wanahonga pesa ndefu)

    Upo Sahihi Ilinicost mie na wageni wangu project haikukamilika kwa muda ikabidi kuongeza muda Kivumbi chake sio mchezo
  2. Clarity

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    ilikuwa wapi hiyo inawezekana nilikuwa ni mimi mchomaji
  3. Clarity

    JamiiForums Tanzania Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Kama mimi nilivyowashangaa wao kama chombo cha habari kutokuzungumzia mauaji ya October 29
  4. Clarity

    JamiiForums Tanzania Unatoka Kazini Muda kama huu Kisha Pap Unamkuta kiumbe huyu anatoka nyumbani kwako endelea

    Itakuwa heri kwani hutotumia bastola yaani kakusaidia kumuua mkeo
  5. Clarity

    JamiiForums Tanzania Wananchi 344 Mgeo waridhia fidia na kusaini fomu za uhakiki wa taarifa kupisha SGR

    Yaani hapo wizarani haya ndio mambo mnayoyapenda kwani kuna mahesabu yenu Kupima ardhi ni ngumu sana na inakatisha tamaa kwa kweli Yaani kama huna hela kupimiwa ardhi sahau
  6. Clarity

    JamiiForums Tanzania Issue ya kajala ndo imedhihirisha kuwa umaarufu sio kigezo cha maisha mazuri

    Hiyo emotion yenyewe anafake Wanaishi ubatili mtupu
  7. Clarity

    JamiiForums Tanzania Nyumba 2 kwa pamoja zinauzwa mil 49 kivule

    Target ya dalali ni hiyo service charge
  8. Clarity

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu (Google pixel 9 a/pro)

    Nchi ina watu wagumu Sana kuelewa
  9. Clarity

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando: Kuna Haja Gani ya kufanya Kipindi Cha Michezo Saa Sita Kwa Siku

    Ni kama vile ukishazeeka uwezo wa kufikiri unapungua Mbona.kuna redio na TV ni Kuongelea Dini kila siku,nyinginw kupiga muziki kila siku
  10. Clarity

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Uwekwe utaratibu wa kuweka Tozo kwa magari yanayoingia Katikati ya Jiji

    Nikimsikiliza huyu kuna kipindi ananifanya niamini uchawi upo
Back
Top Bottom