Recent content by Citizen Kane

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Malipo ya Trillioni 400+ za kodi, Barrick imekubali kuketi na kamati nyingine ili kujadiliana..

    Mkuu naelewa concern yako. Kawaida hao unaowaita wakubwa ndio decision makers lakini kazi yote ya ukokotoaji hufanywa na technical team. Wakuu wanapelekewa tu kuapprove. In this case wakuu wameshakubalina mambo ya msingi. Hatutegemei sasa wao wakae na macalculator waanze kupiga mahesabu mkuu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Bombardier imeuzwa kwa Airbus

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

    Well. Atleast they got their man.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mke wa Filikunjombe aandika ujumbe mzito akiadhimisha miaka miwili ya kifo cha mumewe

    Siku za kulia zimepita. Atamuenzi kwa kukumbuka mazuri na kumuombea misa kama alivyofanya.[emoji120]
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

    The aim was to wipe him and his "legacy" of the face of the earth. Like he never existed.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Mkuu umechanganya na kule kwa massage
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Kanishangaza sana huyu jamaa. Anaona kukiuka sheria za barabarani ni sifa[emoji35] [emoji35]
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Ni kweli. Ukipewa maelekezo hupotei kwa palivyopangika
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Jiji lolote walikostarabika utasubiri mataa. Hata kama upo mwenyewe
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Hapo kwenye mataa ya barabarani umeharibu. Hata ukiwa mwenyewe kwenye mataa ukivukaa Kabla hazijaruhusu utakuwa umekiuka sheria za barabarani. Na fine 30000 itahusika
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom