Wakuu, habari. Wiki iliyopita nilienda ATM kutoa pesa shs laki 3. Baada ya kuingiza kadi na kucommand itoe pesa, ghafla ATM card yangu ilimezwa na ATM ikazima na kuwaka tena ndani ya sekunde kadhaa bila kutoa pesa yoyote wala risiti. Ila kwenye simu yangu ikaingia message kuwa nimeitoa ile pesa...
Yani hiyo kama ni kutokuwa na uhakika wa sehemu ya huyo kuku, yani cna uhakika nikiite ni mbawa, au kidari au kipapatio hivyo yani. And siku nyingine usiwe na closed mind fungua akili kwa possibilities nyingi ya maana ya maneno hasa kiswahili. Isitoshe main heading nimeandika mbawa ya KUKU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.