Makamu Mwenyekiti wa TFF, Michael Wambura anatuhumiwa kufaudu USD 45,0000, zilizotolewa kwa TFF (FAT) ya wakati ule na Marehemu Enock Maganga ili kunisaidia FAT katika maandalizi ya Challenge. Inadaiwa FAT ililipa hela hizo kwa Wambura aliyedai kuwa ni Mkurugenzi wa kampuni ya Jecks Ltd...