Recent content by churchgal

  1. C

    Uislamu unaamini katika Taurati na Injili, lakini sio hizo zinazoitwa Agano la Kale na Agano Jipya zilizo changanywa

    Inaonekana hujui unachokiongea fanya uchunguzi kwa waumini wa imani ya Kikristo kabla ya kuleta uzi hapa by the way Biblia ina sehemu mbili Torati ambayo ndo agano la kale na Injili ambayo ndiyo agano jipya...Kabla ya kuleta hoja hakikisha unajua mada yako usije kupotosha umma
  2. C

    Natafuta kazi halali jijini Dodoma

    -Project management -Data entrant Au nyingine yeyote ifananayo na hizo ikipatikana naweza kufanya. Nina kichwa chepesi naelewa haraka nikielekezwa namna ya kufanya kazi ntaifanya.
  3. C

    Natafuta kazi halali jijini Dodoma

    HAbari wakuu, Natafuta kazi Nipo Dodoma Binti wa miaka 26 Elimu: Bachelor degree in project management Experience: 1 year (as Data entrant) Nina uwezo mzuri wa kutumia computer Ahsanteni.
  4. C

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: Job seeker Education level: Bachelor degree Profession: project management Experience: 1 year (as data entrant) With Good Computer skills Location: Dodoma
  5. C

    Vijana wa Kikristo tujitahidi kuhudhuria walau hata jumuiya

    Kila mtu na atoe vile anavyoguswa moyoni mwake si kwa lazima wala si kwa huzuni..kama hutaki kutoa sadaka usitoe huku unanung'unika hujalazimishwa kama huna tulia...Pia vijana mkumbuke Mungu hadhihakiwi
  6. C

    Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Kama mtu unaona sheria za kikristo huziwezi hamia dini unayoiweza uzuri wakristo hatulazimishagi mtu awe mkristo wala hatung'ang'anii watu, walaa anayehama hatishiwi kuuwawa...sheria hatubadilishi
  7. C

    Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

    😆Huu uzi umenichekesha sana..yani wahuni wamefukua makaburi mpk kuhakikisha wamezima huu uzi kama mshumaa😂 mapema sana
  8. C

    Naomba ufafanuzi wa kiwango cha pesa kinachobaki kwa ngazi ya mshahara wa TGSD baada ya makato

    😃Ulifanya interview ya jana ndo maana una shauku ya kujua?
  9. C

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Guys nani amechaguliwa kuingia oral ya community development officer grade II?
  10. C

    Utumishi interview kwa mara ya kwanza

    Matokeo ya CDO grade II yakitoka tutaarifiane guys
Back
Top Bottom