Hili ni suala muhimu na la kimjadala sana, wazazi wengi wanao na waliosomesha watoto wao shule za gharama ni watumishi wa umma na wafanyabiashara kwa wale walikuwa na bahati kutoka familia za biashara unawakuta kwenye baishara za wazazi hala ula kwa wale watoto wa watumishi wa umma na parivate...
Fanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
Pale panapotoka ile kodi ya mapato ndo panapotoka fungu la kumi. Sasa uje uniambie kodi inatokaga kwenye mtaji .Na kama ukifanikiwa kuulipa huo mkopo hautaitaji kuutolea fungu la kumi kwa umeulipa kutokana na mapato ambayo tayari ulikuwa unayalipia zaka au kodi. Ni jambo rahisi tuu wewe ukikopa...
Wee jiulize swali moja tuu umewahi kuona GMO yoyote ikiwa adimu na bei ya juu...?
Sifa za kibiashara ya mazao ya GMO ni wingi na size ikiwa na maana wingi - vinasaba ya uzalishaji vimesetiwa hivyo au muda wa kukomaa umesetiwa ,pili saizi ya kitu kwa wanyama, matunda ,na hata mimea.Na pia...
Miongoni mwa viaapo nilivyokula ni kufanya kazi kama Guide wa mlima. ukiwa huku chini kupata usingizi kwenye joto la nyuzi 16 bila kujifunika ni vigumu ila pale mlimani 4000+ kutoka usawa bahari unasinsia usingizi ule maharagwe ...ha aha ha ah
Kwa kweli siyo lelemama Katika maisha yangu yote sikuwa kutembea kwa Masaa 24 mfulululizo hii ilinikuta mlima kilimanjaro nikiwa ma rafiki zangu wawili. Hii ilitokea kipindi tunasoma Shahada ya usimamizi wa wanyapori kwa chuo ni cha vitendo kupanda mlima ni sehemu ya masomo ikiwa ni lazima kwa...
kwambaa tukikwambia haifai..? utafuta uhamisho..? we jiaandae adavance hakuna shule mbaya ni wewe na juhudi zako jua tu ya kwamba shule ni kongwe kiasi chake na imeshatoa watu kibao siyo shule mpya ina Advance ni zaidi ya miaka 15 sasa.Ni mchanganyiko na pia ina o level . Binafsi nimesoma o...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.