Recent content by ChunguChuiga

  1. C

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Baada ya kupitia koment za wadau wengi nimegundua kwamba sikuhizi sisi ni 'dads' na sio fathers. Yaan tunashindwa kusimamia malezi mazuri ya watoto eti kisa watanuna? No way, ndio maana tunalalamika maadili mabovu ya watoto wa sikuhiz kwasabab sisi wazaz tunawaogopa watoto Tubadilike.
  2. C

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Fungua Tv yako, kisha weka channels unazoona wewe hazina dini. Acha kupangia watu maisha
  3. C

    Kati ya Chris Hermworth na Jason Momoa nani mkali kwenye Movies/Series?

    Nimemkubali Momoa kwenye See, ila Chris anajua sana. Ila hii mijamaa ni magiant kinoma yaan warefu balaa
  4. C

    Jay Moe vs Chid Benz

    Mo tech ni moja Kati ya M cee ambae anaudai hela nyingi muziki hii, Ana hits nyingi sana in short ni moja Kati ya Mcee wangu wa3 wakali kubless bongo fleva
  5. C

    Uliwahi kufulia (broke) mara ngapi katika safari yako ya maisha?

    Aisee, nipo kwenye hiki kipindi mkuu ni noma sana, nilipata vihela nimeweka shambani mambo yamebuma napitishwa kwenye msoto wa hatari. Imefika hatua simu za ndugu naziangalia tu, familia ya mke na watoto wa 2 hapa napambana hali ikizidi kuwa hivi narudisha madogo kayumba. Wakuu usiombe uwe...
  6. C

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Mayday niliisikiliza kwenye oraimo kuanzia Korogwe mpk Morogoro nikiwa kwenye Bm, Fally ni noma sana
  7. C

    Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Karibu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
  8. C

    Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

    Mkuu wambugu wapo, wanaishi wilaya ya Lushoto
  9. C

    Kama unataka kujua thamani ya maisha na kuongeza imani nenda kijijini kwenu ulipokulia

    Ni kweli kabisa mkuu, kuna ndugu yetu mmoja wakati tunakuwa ndio alikuwa kama role model wetu, alikuwa mnyamwez hatari dah sijui nn kilitokea kwa yule jamaa. Alibadirika akawa mtu wa kushinda kwenye vilabu vya pombe baadae akachanganyikiwa kabisa.
  10. C

    Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]futa hii
  11. C

    Mfahamu muigizaji Kajol

    Kuna dem aliigiza Kite ya Rothik Roshan aisee ile ni pisi. Anaejua Jina lake wakuu
  12. C

    Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Nilikusea sana kwenye mijadala(debate) shuleni nilikuwa natetea elimu ni bora kuliko hela. Aisee nisamehewe sana
Back
Top Bottom