Umefanya vyema kulitukana.
Hili lijamaa limeshiba dhuluma mpaka limevimbiwa sasa linahemea juu juu tu.
Halijui Dunia inahitaji nini na inakwenda wapi.
Limekuwa kipofu na halisikii, linakashifu mambo muhimu likilinda ujinga tu.
Mwanzo hawa waunguana walisema wangetembea na wakalimani lakini ikaonekana ingekuwa mbaya zaidi.
Wazo zuri likawa ni kuthamini chako. Hili wazo likaonekana linafaa kiswahili kikapewa nafasi kubwa. Kama mtu anathamini chake basi ingekuwa na maana nzuri kama hotuba ingekuwa ni kiswahili, hata...
Mtu akifanya vituko vya kshangaza kila mtu sidhani kama mtu huyu anaweza kujidai kuwa ana uwezo mkubwa.
watu wenye uwezo mkubwa wa kuongoza wanapendwa na majority na kuchukiwa na minority. Hapa kwetu ni kinyume chake.
mangi yanayozungumzwa au kutendwa yanashangaza wengi, ni ajabu sana. Labda...
Kama atafanikiwa kuondoka kwa mujibu wa katiba iliyofuatwa na maraisi watatu waliotangulia itakuwa heri.
Mtu mmoja akikaa madarakani hata kama angekuwa mzuri na mkamilifu kama malaika huwa anachosha.
Nina imani hata sasa kuna zaidi ya 50% ya wananchi waliokwisha kuchoshwa, alafu bado kuna hii...
wajameni, mbona mnataka kutesa majeshi yetu? Bado mnatamani kuwaona wakiandamana kwa niaba ya RAIA?
Maandamano ya amani ni MARUFUKU, ila maandamano ya kusifu viongozi bila shaka yanaruhusiwa
Mungu aliruhusu jambo hilo kutokea ili waTZ watoke usingizini na kuchukia ujinga.
Utatawaliwa na mtu yeyote wa sisiem hata kama hana akili sawasawa hiyo ni lazima penda usipende siyo ombi.
Sisiem itatawala tanzania mpaka mwisho wa dunia
Tanzania bado imejaa viongozi wa kishamba. Kenya hakuna kiwewe na V8 kwa viongozi.
Sehemu kubwa ya magari ya viongozi wa Kenya ni magari ya kawaida kabisa.
nakuunga mkono 100 kwa 100. Angekuwepo waziri kama Jafo au prof Mbarawa tungeshaona mambo kwa utofauti.
Huyu mama ni prof na amekuwa sekta ya Elimu muda mrefu lkn hana mchango wowote chanya katika sekta ya Elimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.