Recent content by chumuni

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kinana ameua kabisa upinzani

    Sisiemu imeua watanzania.Hicho anachokifanya Kinana ni usanii mtupu kuzidi kuwapumbaza watanzania ambao ni wepesi sana kupumbazwa na usanii huo wa rejareja wa Kinana.Huyo atabakia ni yuleyule tajiri mmojawapo ndani ya Sisiemu na miongoni mwa walioliasi Azimio la Arusha.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    Naamini kabisa kwa wenye kufikiri sawasawa na kwa kuzingatia nyakati tulizonazo hawawezi kukata mishahara ya watu bila "muafaka na walimu.Na kama hilo litafanyika,walimu wote tuandamane ili kuwaondoa viongozi wote wa CWT.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Iramba watoa baraka Mwigulu Nchemba ndio rais wa Tanzania 2015

    "Ex Tanzania semper a liquidi novi" Kila kukicha lazima kutatokea na kituko kipya Tanzania.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lazidi kupaa!

    IMF.Daima nitasema uongo kusema ukweli kwangu ni mwiko.Hiyo ni ahadi kuu na ya kwanza kwa mwana sisiemu mkereketwa!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza atuhumiwa kwa mauaji ya mtumishi wa CCM

    Power corrupts,but when power is absolute corrupts absolutely!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Moto wa CHADEMA balaa

    Mabadilko yakitokea nchi hii mtakimbia mchana kweupe mkilia na kusaga meno.Mnaonufaika na mfumo huu wa kifisadi uliotengenezwa na sisiemu mnachelewesha sana uhuru wa kweli wa nchi hii ya Tanganyika.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    Maendeleo?positvely or negatively? acha kuwadhihaki watanzania!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanazidi kuisafishia CCM njia kudumu madarakani

    Maandamano siyo uasi,bali ni njia mojawapo inayotumiwa na jamii iliyokandamizwa muda mrefu kujikwamua.Ni haki ya msingi mahali ambapo demokrasia ya kweli inafanya kazi na siyo usanii.Sisiemu itaendelea kukaa madarakani siyo kwa sababu ya sera mzuri,bali kutokana na ujuha na utaahira wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Joseph Msukuma amkimbia Alphonce Mawazo ITV

    Chama chetu ili uwe kiongozi siyo lazima uwe mjenga hoja,bali uwe kada wa kujipendekeza kwa wakubwa,mwenye pesa nyingi za ufisadi na unawachukia watanzania wanaopenda mageuzi.Mambo ya hoja na usomi kwetu yamepitwa na wakati.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Hapa tulipofikishwa na sisiemu ni mahali pabaya sana.Ili kuitoa sisiemu madarakani lazima nguvu za ziada zitumike.Wewe kama msomi nakupa pole sana,ni msomi gani ambaye analia kuhusu haya yanayotaka kufanywa na CHADEMA? acheni kutumikia matumbo yenu kwa mabaki yanayosazwa na sisiemu mwisho wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapigwa stop ziara za Rais

    Hakuna amri iliyotolewa hapo ya kuwapiga stop,ila wakijisikia wanaweza kutekeleza au la.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uamuzi mgumu CCM katika kamati kuu leo

    Ni lini sisemu wakatoa maamuzi magumu?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Upo Uhusiano baina ya Ujio wa Uchaguzi Mkuu na Ukatili dhidi ya Albino?

    Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kwa mwanasiasa wa Tanzania kuingia kwenye ufalme wa Mungu.Na ndiyo maana jamaa wanakula bata kwa kwenda mbele kwani wanajua hawaendi kokote baada ya kifo chao.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ester Matiko na Chacha Heche hawajulikani waliko tangu walipokamatwa na Polisi

    chanzo cha nini? Polisi nchi ni mawakala wa sisiemu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Kwenye kamusi ya sisiemu hakuna neno"KUJIUZULU".
Back
Top Bottom