Moto wa CHADEMA balaa

Moto wa CHADEMA balaa

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindikiza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.

We wa wapi? hujui mikutano ya ccm watu husombwa na malori kwa kupewa t shirt na ubwabwa!
 
Mabadilko yakitokea nchi hii mtakimbia mchana kweupe mkilia na kusaga meno.Mnaonufaika na mfumo huu wa kifisadi uliotengenezwa na sisiemu mnachelewesha sana uhuru wa kweli wa nchi hii ya Tanganyika.
 
CDM imejaa vichaa. Ninasema uwezo wao kufikiri ni mdogo sana. Hivi hawawezi kufanya siasa bila fujo?

wewe huna akili unafikiria chadema ni chama wahuni na washenzi wakubwa kama walivyo ccm ..mbunge mmoja wa chadema ana akili nyingi kuliko wabunge 25 wa ccm ni hewa tuuu
 
Yaani hawa polisi wetu wanafikiria kidogo sana. Hadi sasa hawajagundua kwamba tayari wao wako kwenye mgomo kwa kulinda ofisi zaChadema na kuacha kazi nyingine nyingi? Pia kama jana kumsindikiza Mh Kamanda Mbowe na gari nne acha za kiraia hawajaona kama walisaidia maandamano ya Chadema!! Intelijensia ya polisi wetu hiyo.
 
jana mateja na mashoga walikuwa wakimsindikiza mcheza shoo wa bills

Mwigulu.jpg View attachment 186437 makinda.jpg
 
Chadema iko on fire. Magamba waliopo bungeni mav yanagonga vyupi
 
We wa wapi? hujui mikutano ya ccm watu husombwa na malori kwa kupewa t shirt na ubwabwa!

Wakati wa uchaguzi mdogo wa madiwani CDM walipoambulia kata 3 pamoja na kutumia chopa 3 mbona mikutano ya CHDEMA ilikuwa inafurika watu au walikuwa wanakuja kushangaa chopa?
 
Walisema CHADEMA imekufa bado kuzikwa tu (Simiyu yetu & Msalani, 2014), wengine wakasema ni chama cha msimu (Kikwete, 2010) na wengine wakasema CDM haitamaliza mwaka 2013 (Wasira, 2012), hao wanachama wanaoandamana wanatoka wapi? nani anawalazimisha kuandamana? au ni wanaccm? na je, kama wakiwaacha waandamane na wafanye mikutano yao itawaathiri nini serikali maana Bunge lao la katiba linaendelea na Katiba wanatengeneza wao kuna tatizo gani wakiwapuuza? Mimi nauliza tu...
 
Mkuu christian ronaldo CDM noma ! Kiukweli ndio wanaoendesha taifa kwa sasa , tangu jana kwa local na international habari ni cdm tu !
 
Back
Top Bottom