Members.
KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu.
Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
HABARI WANA JF!NA MEMBEZ WOTE.
maisha yana mambo mengi kwa kweli.unayo yajua,usiyo yajua na unayo yafikiria.kuna kipindi binadamu tunapitia mapitio ya hovyo sana na magumu mno.ima maradhi,shida na mateso, FURAHA na nk.ila Leo tuangalia tuliopitia maisha HAYA ya ZIRO BAJETI."nikisema ZIRO BAJETI...
Swali zuri sana mtoa mada.
Mkuu BAHATI ni nini?bahati ni matokeo ya juhudi mbalimbali unazo zifanya katika harakati zako za kira Siku katika kuyakabiri maisha yako.bahati hutafutwa kama unavyo tafuta vitu vingine.kutafuta bahati maana Yake kuweka mipango yako katika njia ya kufanikiwa...
Habari members!
Kila MTU anatamani au alipanga awe anavyo taka ima kimaisha wadhifa, kielimu nk.
BINAFAI nilipo kua mdogo nilitamani sana nikiwa mkubwa niwe mwalimu kwa sababu niliona mwalimu ni MTU muhimu sana katika jamii.
Huwezi kua doctar mpaka ufundishee na mwl
Huwezi kua rubani
Huwezi...
Brother mshana we nimkubwa sana.sio kiumri.bali kiakili,kielimu na kimaarifa.pia ni barikio KUTOKA kwa mungu kukupa maono,fikri pevi .niseme tu unatoa mchango mpana sanaktk jamii yetu...nimalizie na kusema FUNGUA CHUO KAMA LAS SIMBA TUJE KUSOMA ELIMU,NA MAALIFA JUU YA ULIMWENGU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.