Recent content by chumachakavu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtumishi wa umma au mfanyakazi anayetegemea mshahara, fuata ushauri huu

    Jiepushe na mikopo ya muda mrefu. Binafsi nashauri usikope zaidi ya mwaka mmoja. Kama lengo lako ni kujenga nyumba, fanya hatua kwa hatua mpaka nyumba itakapoisha. Utatumia gharama na riba ndogo kuliko kukopa kwa muda mrefu, na pia unepunguza hatari ya nyumba kutokamilika. Kama unataka kufanya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

    Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu juu ya kampuni ya QI Group

    Hakika,pesa imepotea
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu juu ya kampuni ya QI Group

    Habari ndg zangu,naomba yeyote mwenye ufahamu wa kampuni ijulikanayo kwa jina tajwa hapo juu anijuze,maana kuna mtoto wa dada yangu amejiunga na hiyo kampuni lakini imekuwa ngumu kupata taarifa zake baada ya kufika Dar wa Salaam ambapo ndiko kwenye hiyo kampuni hana uhuru wa simu yake,kila...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya mkoa Morogoro hii sio sawa

    Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima. Pale mapokezi wameniambia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza ng'ombe bora wa maziwa

    Weka bei
  7. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza ng'ombe bora wa maziwa

    Weka bei
  8. C

    JamiiForums Tanzania Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Hili linawezekana kama wananchi walichangia mil 200+ kuwatoa kina Mboe gerezani hata hili nalo linawezekana.Kila mwananchi aliyeguswa na maumivu ya hawa mashekh akitoa sh 1000 nahakika zaidi ya mil 500 inaweza kupatikana na kurudisha tabasamu la hawa mashekh.Hii kuonyesha kwamba muda wote wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuomba kubalidilishiwa shule kidato cha tano

    Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki, kijana huyo Mungu amemsaidia amefaulu na amepangiwa Temeke sekondari, kwa bahati mbaya shule ile ni ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Nami nimeshangaa,ng'ombe wa laki 4 anatoa wastani wa kg 80 tu
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Vipi Gwajima katoboa kura za maoni? Mwenye taarifa plz
  12. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wadau tujuzane vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi ni wagombea wangapi wa upinzani wameshinda. Weka jina la mgombea wa upinzani aliyeshinda na eneo lake.
Back
Top Bottom