Hospitali ya mkoa Morogoro hii sio sawa

Hospitali ya mkoa Morogoro hii sio sawa

chumachakavu

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
55
Reaction score
103
Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima.

Pale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?

Hii sio sawa maisha ya binadamu hayataki mzaha kama mnaoufanya. Mnacheza na maisha ya watu.wenye mamlaka litazameni hili,watu wanaweza kuichukua serikali yao kwa sababu ya wajinga wachache waliopewa dhamana.
 
Du
 
Ni kweli kuwa baadhi ya Madaktari bingwa hutembelea baadhi ya hospitali kwa muda fulani. Yaweza kuwa kila wiki mara moja au kila mwezi mara moja.

Lakini, hilo la fast truck linastaajabisha. Kwani imekuwa bank?

Kwamba daktari hatokuwepo kesho ila ukilipia atakuwepo?

Au Jumatano ndiyo hufanya huduma za kibingwa bure. Siku zingine ni za kulipia???
 
Pale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?
Maana yake utoe kikamata daktari asiondoke
 
Au Jumatano ndiyo hufanya huduma za kibingwa bure. Siku zingine ni za kulipia???
Kama vile halipwi mshahara monthly, ama kweli maisha yetu yamewekwa rehani na wajanja wachache
 
Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima.

Pale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?

Hii sio sawa maisha ya binadamu hayataki mzaha kama mnaoufanya. Mnacheza na maisha ya watu.wenye mamlaka litazameni hili,watu wanaweza kuichukua serikali yao kwa sababu ya wajinga wachache waliopewa dhamana.

Hakuna usawa mwanadamu anapohusika, we mthaminishe mwanao, lipa, mtoto akae kwa amani, maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom