Recent content by Chuma solo guy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

    maisha ni hatua broo usiwanyanyase wasiokuwa nacho
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dhana ya uchawi wa Sumbawanga ilivyonichelewesha kupata maendeleo

    nimeishi hapo swax maeneo ya uwanja wa ndege sijaona kituko chochote kinachohusisha uchawi....ni sehemu salama
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dhana ya uchawi wa Sumbawanga ilivyonichelewesha kupata maendeleo

    Kwema humu ndani? Kwanza samahani kama kuna watu nitawakwaza kwa haya machache niliyoyashuhudia Sumbawanga na dhana ya uchawi wa sumbawanga. Kiukweli tokea nakua katika makuzi yangu nilikuwa nikisikia watu wakiitaja Sumbawanga kama sehemu yenye uchawi mkubwa kwa hapa Tanzania, hali...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Nimekuelewa mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Nb: Kwanza sina uzoefu wa kuendesha hivo vyombo vya moto pia mara nyingi hizi ndoto napata kuanzia saa nane za usiku hadi saa kumi yan mara nyingi nikikurupuku kutoka kwenye hizo ndoto nikicheki saa lazma iwe saa kumi au saa tisa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Asante mkuu hakika umenisaidia na kunifungua sanaa mana binafsi nilikuwa nawaza kuwa huenda nachukuliwa kichawi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

    Hii nchi itakuwa vigumu kupata maendeleo ya kweli kwa sababu kila Rais anayeingia madarakani anakuja na maono,mitazamo na misimamo yake ya jinsi gani nchi inatakiwa kwenda na kipindi chake kikiisha anayefuata naye anaanza na yake yani hakuna muendelezo kabisa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mgunda amenishangaza leo Mapinduzi Cup

    Kocha bonge na suruali yake kavulugwa na mkanda wa ndugu yake pele
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ondoa haraka sana virusi Mwinuke, Okwa, Kapama, Kibu, Kiyombo, Mkude, Okrah, mtamtia matatizoni kocha mbrazil

    pandeni mtumbwi wa vibwengo mrudi....mlandege kageuka MLASIMBA
  11. C

    JamiiForums Tanzania Habari wana JF

    Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu. Kwasasa mambo yapo kwenye mstari naomba mnipokee
Back
Top Bottom