Recent content by chulla

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    ikifutika unapata faida gan acha ujinga waza maendeleo sio kutumwa tumwa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni Utekelezaji wa Ahadi. Jiji la DSM mwaka mmoja chini ya CHADEMA

    acha ukada angalia wanabanwaje kila kona sio kuleta uzi wa kichochez tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha aamuru posho za Madiwani kulipa walimu Arusha

    ameona walimu wananjaa sana kwanini asipeleke kwa watoto yatima
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    namba ya mbowe 0783800800
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    mapovu yamekutoka kwa hili tyu, kwel thinkn capacity yako ndogo, kwani kuna tatizo hapo?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

    mikutano iruhusiwe ili ujue majibu ya maswal yako
  7. C

    JamiiForums Tanzania Magic FM: Rais asifikirie Wananchi watafuata sheria wakati yeye mwenyewe anazivunja sheria

    mnyika anaakili kuzidi hata thamani ya maisha yako kijana uliza form four na six ana one ya ngapi sio kuropoka kama umekunywa mrenda
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je mwalimu anaruhusiwa kusoma degree tofauti na ualimu?

    Mi nataka kubadir koz mana Nina dp ya education
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je mwalimu anaruhusiwa kusoma degree tofauti na ualimu?

    Hivi mfano mwalimu anaenda kusoma Chuo kikuu shahada ya kwanza, anaruhusiwa kuchukua kozi tofauti na ualimu? Msaada plz
  10. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo mwanza- kwimba idara ya seco, nataka kuhamia morogoro- mvomero au kilosa, tuwasiliane kwa Namba 0622900502
  11. C

    JamiiForums Tanzania TCU VP?

    Mwenye taarifa ya lini hasa TCU wataanza kupokea maombi, nijuze tafadhali
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaogopa sana Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM?

    Wewe uliyeandika ndo unayemwogopa, usihusishe na wengine
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayeifahamu Shule ya Secondari Lusanga, Morogoro

    Shule ipo mtibwa kiwanda cha sukari, ukifika morogoro mjini panda basi la kwenda Turian- madizini ukifika tu mwisho wa gari, chukua bodaboda mwambie unaenda lusanga seco nauli ya boda ni 2000 toka madizini. Ufaulu ni wakawaida ni juhudi zako tyu, shule imezungukwa na kijiji cha lusanga
  14. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    Yaan nimemtumia kama Masaa manne kutafuta selection yanakuja majina hyohayo, kwanini wasiweke vyema tuyaone ina maana ma IT wa tamisemi buree, mwenye njia ya kuyapata nisaidie Hakuna PDF?
Back
Top Bottom