Je mwalimu anaruhusiwa kusoma degree tofauti na ualimu?

chulla

Member
Jun 4, 2016
48
21
Hivi mfano mwalimu anaenda kusoma Chuo kikuu shahada ya kwanza, anaruhusiwa kuchukua kozi tofauti na ualimu?

Msaada plz
 
Hivi mfano mwalimu anaenda kusoma Chuo kikuu shahada ya kwanza, anaruhusiwa kuchukua kozi tofauti na ualimu?

Msaada plz
Inawezekana, ila inategemea umesoma ualimu katika angle ipi. Kwa mfano, ukisoma Bsc. With education, unaweza kwenda kusoma kitu kingine ila umesoma Bsc. in education utaendelea kukaa huko huko.
Kwa mfano pale UDOM kuna program kama Bachelor of education in Science with ICT. Mtu anaweza baadaye kuamua kusoma ICT tu.
 
Inawezekana ndio ila mshahara utasitishwa maana utakua unasoma kwa manufaa yako binafsi na sio ya kuboresha ufanisi wako ktk sector ya elimu.
 
Back
Top Bottom