Recent content by chugastan

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

    Mdau anataka kujua alikuwa anatoa sh ngapi ,ukijua itakuwaje?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    Hahaa,eti raha ya milele usiwape
  3. C

    JamiiForums Tanzania Meseji za bando zimekwisha usiku wa manane

    Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana. Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Kwanini useme mama yake kuna sehemu alienda alivyorudi mtoto akaanza kulia,ni kama kuna mawazo uliyonayo labda mama ametoka kuchepuka,maana kama mtoto analia kwa masaa mawili halafu unakuja kuuliza huku mitandaoni kweli?Hakuna hata majirani hapo ,mtoto masaa mawili analia hiyo nguvu ya kuandika...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Hii ni kutishana tu ,ukifikiria hayo hatutatafuta pesa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Kwa staili hiyo ikipigwa leo 2024 hakutakuwa na mtu hata hilo jengo kuna uwezekano nalo halipo
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilio changu ni kitambi

    Mpe stress ,ndiyo dawa ya kuondoa kitambi haraka
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujaza vocha Bila Kukwangua

    😃😃😃
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

    Wewe endelea kumpa solution wengine wampe pesa ,iko siku utakuja kutoa ushuhuda hapahapa
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ndizi ya mchuzi!!

    Mshangazi acha fujo ,wengine jambo dogo tu linatupa shida ,mwili umeshasisimka
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya kibaiologia inasababisha walemavu wa akili kuwa na maumbile ya kiume makubwa ukilinganisha na watu wa kawaida?

    Umechungulia mijegedo ya vichaa wangapi hadi umri ulionao?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Huu mwandiko wa jamaa kama una ukakasi hivi, kupata usingizi mwanana,mara muunekano na mvuto,kuna ukakasi kidogo,Tafuta hela broo nywele zitangara zenyewe bila mafuta,Kwanza mafuta yanauzwa afu tatu mh
  13. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Siutaje inaitwaje,piga na picha tuione na ikibidi na picha ya muhudumu mmoja ambaye tutapata maono ya wenzake
Back
Top Bottom