Recent content by Chuck j

  1. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Secret: Ukweli kuhusu Sadaka ya Kuchinja Wanyama na Kutoa Damu

    Kuna maswali hayajajibiwa
  2. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Maadamu nakuomba na mimi nahitaji misaada pls,,
  3. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Mimi nahitaji huyo wa bagamoyo wa babu yako
  4. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

    Mkuu naomba kujua now niamze na mtaji kiasi gani Na nipeleke Nini Cha haraka?
  5. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Suzuki escudo inakula mafuta sana

    Naweza mpata huyo fundi mkuuu?
  6. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Nimeelewa Sana hapo,,je Naweza fanya mwenyewe ,nikajiambia mwenyewe?
  7. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ni sahihi kabisa,,nimeiona uchagani,,wanaangalia utumbo ,wanausoma
  8. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Mtume akatimize but nguzo Mtume mwenyewe alifanya kazi kwa nguvu Mti
  9. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Ni nyingi kiasi chake,,,anaslimu gani? By the way watanzania wengi ndiyo tulivyo,,tukiwa wahitaji utatupenda,,tukishapata huamini kabisa tunapokuwa,
  10. Chuck j

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Haiwezekani mkuu,, Uzalishaji wa umeme unaenda sambamba na kutuza viumbe hai walioko mtoni na pembezoni mwa mto,,so ukiyazuia kabisa utawaua
  11. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Ebu tueleze FBI inafanyaje kazi na imetobolewa wapi? CID inafanyaje kazi na imetobolewa wapi? Ukijibu Hilo ndo tutajua hapo
  12. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Hilo ndilo tatizo letu,,,angekuwa mzungu tungesema Yuko right,,,,,ivi mnafikiri kajiokotea tuu? Kafanya utafiti na kwa taarifa yenu hicjo kitabu kimeandaliwa ndani ya miaka 7 mpk 10 Mnaopinga mnawapotosha watu ili wasijue mifumo yetu na ya dunia ya ulinzi na usalama
  13. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Hapo naona hujamuelewa,,, Kasome kitabu alichokuelezea ndo utajua,,hapa katoa robo au introduction tuu
Back
Top Bottom