Amuunge mkono apoteze kazi kisa mume ujinga. Yuko sahihi kama akumshirikisha Jesca si mwanachama tu. Ni mbunge hiyo ni ajira kubwa sana ambajo ilisaidia familia,tena angempiga chini kabsa jesca anamalengo yake si goalkeeper.
Miongoni mwa majukumu ya mh rais ni kuteua watendaji mbalimbali.
Rais ana wakati mgumu sana kupata watu bora kujaza nafasi hizo na zimekuwa nyingi mno mpaka wakati mwingine zinaleta mjadala.
Ugumu huu unatokana uwezo mdogo wa watu chama tawala. Kumbuka ilibidi mbunge kuteuliwa ajiuzulu ili mh...
Hizi habari kuziandika si uzalendo .wananchi hatupaswi kujua.nategemea mhariri ametumia busara mwandishi aitwe mwandishi wetu na si jina lake.maana wasiojulikana hawakufurahishwa na Lissu kutujuza bombadier [emoji126]naenda Zimbabwe
Itakuwa neema kwa watu wengi hasa wakulima maskini walala hoi. Hatuwasaidii wakulima wacha yapande bei wajiokoe.si lazima tule ugali yujifunze kula mbaazi pia
Kwa hiyo tukijadili siasa kwenye mabasi .watatoza faini kwa dereva,abiria au mmliki .Polepole uko wapi akina Muro wanaongezeka kaa chonjo kazi imekushinda[emoji32]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.