Serikali yaondoa zuio la kuuza mahindi nje ya nchi

Good..wakulima wengi wamepata hasara sana kwani wengi walichukua mikopo na kuwekeza ..demand ni kubwa sana Kenya na South Sudan naamini watafidia hasara...haya ndiyo mambo ambayo Magazeti wanatakiwa waweke front page ili wahusika mikoan na wilayani wapate taarifa si habari za Dr.Shika
 
Huku mwanza leo gunia la mahindi limepanda kwa elfu tano, hali ikiendelea hivi bei ya unga itafika elfu mbili
Itakuwa neema kwa watu wengi hasa wakulima maskini walala hoi. Hatuwasaidii wakulima wacha yapande bei wajiokoe.si lazima tule ugali yujifunze kula mbaazi pia
 
Serikali imeondoa zuio la uuzwaji wa mahindi nje ya nchi lililokuwa limetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwezi Juni mwaka huu,

Hii ni kutokana na nchi jirani kuwa na mahitaji ya chakula na malalamiko ya wakulima juu ya kukosekana kwa soko la ndani la uhakika kwa mazo yao

Waziri wa Kilimo akichangia mpango wa bajeti ya mwaka 2018 iliyopendekkezwa amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya tathmini kwenye chakula cha ziada kilichopo nchini kwa sasa

Waziri huyo amewaambia wakuu wa Wilaya na mikoa kuruhusu mazoa hayo kuuzwa nje bila vikwazo

Wabunge walikuwa wakilalamika juu ya wakulima kuzuiwa kuuza mazaoyao nje baada ya mavuno ya kutosha

=========================================================


The lifting of the June 2017 ban has come as a blessing to some needy East African countries and Tanzanian peasants who have been complaining over unreliable markets for their produce.

Agriculture Minister Dr Charles Tizeba, debating the 2018 fiscal budget draft and proposed National Development Plan in the National Assembly here yesterday, said the move follows an assessment on the current food stock against A budget for maize purchase.


“We have buffer maize harvests, which we cannot afford buying exhaustively...we have opened up doors for exports to allow farmers to proceed with the next farming circle, smoothly,” said the minister.


He however noted that NFRA was still buying the food crop in Njombe, Ruvuma, Rukwa and Songwe regions, which have produced in plentiful.


Dr Tizeba ordered Regional and District Commissioners to allow smooth exports of the produce, warning against re- strictive haul of maize consignments from one region or district to another.


Members of Parliament had been complaining over bumper maize harvests, amid shortage of markets, arguing that the produce could not be consumed internally, with some dishonest traders using unofficial routes to smuggle the food.


In June this year, Prime Minister Kassim Majaliwa imposed the ban on maize exports, saying the government was still collecting data on food adequacy in the country before lifting the export ban.


The premier said by then the Democratic Republic of Congo (DRC) and South Sudan had officially requested for maize supplies.


“This shows that food situation in the region is not good and exports continue unabated, we may soon experience serious shortages across the country,” Mr Majaliwa was quoted as saying and urging people willing to export maize to freely do so but subject to securing approval from the agriculture ministry.


On tobacco marketing, Dr Tizeba said he had given the Tanzania Tobacco Board until today afternoon to submit to him a detailed report on the scope of purchase, amount and prices offered by firms that have shown interest to buy the cash crop.


He said the government is as well looking for other foreign markets to assure farmers of reliable market during harvesting season.


Moreover, he said, from now on the agriculture inputs including manure and urea will be available throughout the year unlike the current trend of availing them only during farming season.


Livestock and Fisheries Minister Luhaga Mpina said the government has confiscated 10,000 herds of cattle from Rwanda and Uganda, saying they will be auctioned soon.


“We have to learn to respect each other’s boundaries, rules and regulations that govern the livestock sector...about 30 per cent of feeding land for cattle is serving animals from the neighbouring countries, this should never continue unchecked,” said Mr Mpina.


He said Tanzania has good diplomatic relations with her neighbouring countries but ruled out felony bond. “We have auctioned 1,325 cattle and burnt 6,400 illegally imported chickens from Kenya to control diseases as per poultry importation ban of 2016 following the bird flu outbreak,” said the minister.


He said the Ministry of Foreign Affairs and East Africa Cooperation had alerted all cattle owners in the region before the exercise. Some trespassers withdrew their livestock from the reserve areas and the defiant had their cattle confiscated.


Source: Daily News
Nilini tena itaondoa zuio lakigezo cha mtukuingia kwenye usaili wa kujiunga na jkt hadi uwe na living wakati living haziuzwi dukani ni muda mrefu sasa living haziji licha ya wasailiwa kujiandaa na matokeo yao kidato channe na barua za wakuu washule bado wamefukuzwa kama vile hii sio serekali yao waziri wa tamisemi na waziri wa elimu makosa yawahitimu kuazibiwa kwa makosa ya wizara zao je nihalali ? Hii imetokea manispaa ya kigoma ujiji ofisi ya mkuu wa wilaya kigoma sidhani hili kwa mh sana makonda kama angeweza ruhusu litokee. Kama wazazi limetuuma sana
 
Kipindi cha uchaguzi serikali inaweza hata kughramia harusi za watoto wetu mradi tu tuwape kura na wanakuwa madarakani.
 
Miezi yote wamezuia,wakulima wengi waneuza mazao yao kwa hasara ndio wanafungua milango.?!
Hakuna mtu anaishi kwa shida kubwa hapa Tanzania kama mkulima.
Sasa we we ulitakaje? Srikali iendelee kuzuia ? Na mmesahau juzijuzi tu hapa mlikuwa mnapiga kelele bei ya unga imepanda wakati nchini kulikuwa na upungufu wa mahindi. Leo bei imeshuka hata shukurani hamna. Kuweni angalau na moyo wa shukrani sio kulalamika kila saa.
 
Miezi yote wamezuia,wakulima wengi waneuza mazao yao kwa hasara ndio wanafungua milango.?!
Hakuna mtu anaishi kwa shida kubwa hapa Tanzania kama mkulima.
Lazima ifanyike tathmini kuhusu food security nchini,hivi kwa mfano hali ya chakula haitoshelezi then uruhusu chakula kiuzwe nje what do you expect?
 
26 Jun 2017
Zaidi ya tani 160, za mahindi, zimekamatwa wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na Jeshi la Polisi, ambapo inatajwa kuwa yalikuwa yanasafirishwa kimagendo nje ya nchi. Mwandishi wa Azam TV, Jamaly Hashim, ameshuhudia kamatakamata hiyo. Wenye mazao ya mahindi ambao ni wakulima wanasema walikuwa wanatafuta soko lenye bei nzuri hivyo wanakwazwa na hatua hii ya serikali

TANI ZAIDI YA160 ZA MAHINDI ZAKAMATWA KILIMANJARO ZIKISAFIRISHWA KIMAGENDO

Source: Azam TV
 
Wakulima wadai serikali haina fedha wala uwezo wa kununua mazao yao
Baadhi ya wakulima wa zao la Mahindi mkoani Ruvuma, wamelalamikia utaratibu wa Serikali wa kununua mahindi ya wakulima kiasi cha Tani Moja tu kwa kila Mkulima sawa na gunia Kumi na kwamba kiasi hicho ni kidogo mno ikilinganishwa na idadi kubwa ya mahindi waliyozalisha katika msimu huu.

Source: Ruvuma TV
 
wamechemka maan akw asasa mahindi ndio bei imepanda na ikifika mwezi wa pili njaa itakuw aishatapakaa u bei itakuw asawa na mchele kama mwaka jana.
Tatizo mnataka maisha mdebwedo kwa jasho la wakulima, wewe unataka ule ugali wa bure wakati mwenzako mkulima amechukua kamkopo na kulima vimahindi vyake ili asomeshe watoto wake alafu wewe unatamani kuona mipaka ikifungwa ili ununue mahindi kilo kwa Tsh 200 bila kujua ni kiasi gani cha pesa kilitumika kuzalisha hayo mahindi, huo ni ubinafsi....alaaaaa
 
Tatizo mnataka maisha mdebwedo kwa jasho la wakulima, wewe unataka ule ugali wa bure wakati mwenzako mkulima amechukua kamkopo na kulima vimahindi vyake ili asomeshe watoto wake alafu wewe unatamani kuona mipaka ikifungwa ili ununue mahindi kilo kwa Tsh 200 bila kujua ni kiasi gani cha pesa kilitumika kuzalisha hayo mahindi, huo ni ubinafsi....alaaaaa





Kweliii
 
Ni habari nzuri kwa wafanyabiashra ila kwa wananchi wanaonunua hizo bidhaa muda c mrefu mahindi yatapanda bei
 
Back
Top Bottom