[emoji23][emoji23][emoji23] Sio tuonaona sawa nyie wanaume ndo mnaona sawa.. unadhani kuna mwanamke anapenda kuchangia mume na mtu mnatengeneza mindset za kwamba mwanaume hawezi kutulia na mwanamke mmoja na mnafanya ivo kwa visingizio vya kunyimwa mbususu(tho wengi mnanyimwa) na wanawake...
Ameongelea habari Quran jamani hiyo inamaana gani?? asingeweka vifungu vya Quran na kusema habari Za Allah ningejuaje kama hii hainihusu?? nimekosea nn hapo??
Angetaka na sisi wengine tushiriki angeongelea in a general way mana hata sikuiz wakristo wanafanya hayo mambo ila ametanguliza na...
Amesema tareh 1.11.23 saa 4 usiku sijui
Kwakweli mimi saiz nimeamua kwenda na flow ya mwandishi akipost hayaa asipopost sawa pia[emoji23] kuna muda inakua kama tunambembeleza/tulazimisha apost ili kumaliza story lakini kwa upande mwingine nae ana majukumu kazi, familia plus personal things...
Uzuri wa mtu/ kitu upo machoni pa mtu[emoji2][emoji2] Ndo mana mzuri kwako ila kwa mwingine ni wakawaida ila kuna kile kitu/mtu 9/10 wote mnamwona mzuri/kizuri
Umesema umepoteza hisia kwa mama j kwasababu ya iryn ko sisi kama team mama J lazima tupaze sauti alafu anajifanya bestie wa mama j akati wanachangia rungu kwann?? Alafu kwa prisca haya yote hayakuwepo mkuu ya kupoteza hisia sijui
kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati
Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.