Recent content by Christopher1310

  1. Christopher1310

    SI KWELI Hi hotuba ni ya Traore kweli?

    hii video clearly ni AI wewe unaweza kuhutubia kwa dk 25 bila kunyanyua mkono!? na pia huyu kiongozi huwa hapendi kuongea kwa kiingereza, always anatumiaga lugha yao nahisi hii nayo ni propaganda tu kumpamba huyu kiongozi
  2. Christopher1310

    Mabingwa wa Kuharibu: Toka Mabasi 140 hadi 30

    Public insfrasttructures kama public transport huwa haziingizi faida duniani kote, nenda china fast train zao haziingizi faida, ukienda marekani postal service zao haziingizi faida. Hii ni miradi inayokuwa funded na serikali kwa lengo la kumsaidia mwananchi maisha yake kuwa rahisi na sio...
  3. Christopher1310

    Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    tangu nianze kutambua mwandiko wa ChatGPT, nmeanza kuuona kila mahali, duh!
  4. Christopher1310

    Sio muda tutakua na Formula AI. Sijui utamu wa racing utakua hivi hivi au ndio ushavamiwa?

    magari ya formula 1 yanatumia mafuta, magari ya formula E (e kwa maana electric) yanatumia umeme tu, battery technology bado sio nzuri, hivyo wanarace kwa lap chache tu hawawezi kufika lap 50/60/70 kama magari ya mafuta f1, pia kuna f2, f3, f4 wacheni technology iendelee, kwanini mpoteze hamu...
  5. Christopher1310

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Mimi sio Atheist, ila nlipata mda wa kufatilia hoja zao kuhusu Mungu zipo nyingi ntakupa chache kwanza tuanze na atheism ilipoanzia chimbuko la atheism ni tetemeko la ardhi na tsunami iliyoikumba lisbon mwaka 1755 Lisbon ilikuwa ni nchi takatifu, watu walikuwa wanasali sana ila mwaka huo...
Back
Top Bottom