Poleni kwa majukumu.
Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa.
Kwanza kabisa waandishi hawa ni weupe kichwani kiasi kwamba hadi wanatia aibu, mfano kuna radio na waandishi...
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Mtaa namba moja kwa shughuli nyingi ni Miyomboni.
Ndugu zangu, mtaa huu...
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF.
ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape nguvu ya kunikaribisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.