Recent content by christopher lekaleka

  1. C

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Unamaanisha ni sasa,ww unafikri ni sahihi? Funguka..
  2. C

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu, pia poleni sana familia ya marehemu kwa pigo kubwa la msiba Ameni.
  3. C

    Wasichana wananikimbia kwa sababu ya bao 6 na kuendelea!

    Kaka kiukweli unahatarisha afya yako mwenyewe,mbali na kukimbiwa na hawa viumbe. ninacho kusihi jaribu kujicondition at least 3 zinatosha.Hakuna dawa wal tiba mkuuu.....zaidi ya kufanyia zoezi hilo nililo kwambia.
  4. C

    jamani madada zetu mjitahidi kuwa na wanaume makini

    Akina dad zetu kiukweli ss wanaume ndio chanzo cha umalaya pindi tunapo zarau ndoa zetu na kuanza kutoka nje. Lakini pia nyie mna dhamana kubwa ya kusema hapana pindi unapo hisi mnadanganywa ili mpate ofa ya bia au kitu kingine cha cha kk laghai.
  5. C

    Mh.Spika Mimi naunga hoja Mkono 100%, Lakini kule..

    Hawa wabunge kwkweli ni vichekesho,na wanacho angalia zaidi ni kula tu na sio uzalendo wa kweli. Najisiskia vibaya sana kuona nchi yangu ikiwa ktk hali kama hii ya ss.
  6. C

    Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

    Kk kwanza pole sn kw hilo, Pili napenda kk shauri ya kwamba Miongoni mwa kanuni za mapenzi ni upendo wa zati na sio UMRI nk. Je,nakama mngekkua lika sawa halafu yy ni kilema kw namna yeyote ile wangesemaje? Binadamu ndivyo tulivyo kk ww baku na msimamo wako. ONE LOVE KAKA:nono:
  7. C

    Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    kwanza pole sana ndugu Halafu jitahidi sana kumcha mungu wako Na la mwisho jikipu bize kamavile, michezo,chating,n.k
Back
Top Bottom