Recent content by Christine kirigini

  1. C

    JamiiForums Natamani kuacha Ualimu nijikite kwenye siasa

    Siasa ina mwisho, ila ualimu hauna mwisho.
  2. C

    JamiiForums DC MVOMERO: amewatahadharisha UWT wasitumike kama condom na kuleta tafrani.

    Hakuna shida yoyote mtu akitumia mfano wa kondom, wanataka kufichwafichwa nni haitawasaidia chochote. Kama hawakuelewa wangemuuliza mheshimiwa palepale sio kulalama, sasa wao kutajiwa kondom ndio shida, wanamatatizo hao UWT.
  3. C

    JamiiForums Jamani ni msaada tu wa kuelimishwa

    Nahitaji kujua jins ya kijiunga na whatsapp, pia jins ya kujirejista na magroup mbalimbali niweze kuchat na watu humu kweny jamii for,bado mgeni sana na vitu hiv nami navipenda. NISAIDIENI
  4. C

    JamiiForums Musoma

    Musama, ni sehemu nzuri kimaisha, hali ya hewa, hakuna ukorofi kama ujamchokoza mtu. Maisha ni safi, watu wake wakarimu iwe mjini au vijijini. Karibu kwetu Musoma
Back
Top Bottom