Uzuri na ubaya wake kiaje?
Maisha yake kivip? Unataka kwenda kuishi au kutembea? Haya mawili ndio
yatatoa picha ya majibu sahihi.
Na musoma ipi unahtaji kuijua mjini vijijini?
Mleta mada jibu haya maswali kwanza then nitakufungukia kuhusu musoma
Niaje wadau?
Natamani kujua kuhusu Musoma.Sijawahi kufika. Napenda kujua uzuri na ubaya wake,if any.
Maeneo ya starehe, maeneo mazuri ya kuishi,gharama za maisha,hali ya hewa, etc
Ahsanteni.
Kuna ukumbi wa disco unaitwa metro hiyo ndio strehe kubwa zaidi kwa musoma. Pia kuna olive mess. Ni sehemu nzuri ya vinywahi iko ufukweni. Kuna pubs kama mbili hivi. Kuna sehemu ya nyama choma nimeisahau jina.
Kuishi nenda mtajuja au Makoko.
Gharama za maisha ni kama sehemu zingine. Bei ya via ni Ile Ile na vyakula bring yake ni ka haina tofauti pia. Samaki wanapatikana kwa wingi .
Hali ya hewa si mbaya sana. Hakuna joto saana. Kuna fukwe kama tatu hivi.
Ushauri: mademu wa pale mjini kuwa nao makini sana. Wengi wao wana mpenzi ya dawa sana.